5 Ways Jinsi Poor Man Mentality Inavyokuzuia Kutengeneza Pesa Kwenye Hii Life. Na Jinsi Yakubadilika.

5 Ways Jinsi Poor Man Mentality Inavyokuzuia Kutengeneza Pesa Kwenye Hii Life. Na Jinsi Yakubadilika.

The will to make it so

Yes man.

Entrepreneurship is no joke.

You gotta have some kind of obsessive mind.

Yaani unafanya kitu every single damn day.

Biashara nyingi zinakuwa stable na kuziita real business si chini ya miaka 2.

Sasa ndani ya huu mda wangapi wataweza kukuza biashara.

Kuna watu wao wanaona sawa tu kuendesha biashara zilizodumaa. No growth miezi na miezi wapo pale pale.

Nataka niendeshe big business inayohudumia millions of clients na kuingiza million dollar revenue.

Hiyo inataka lots of courage.

Isn’t it?
 
Nipe idea ya bussiness itakayonitoa
 
Nipe idea ya bussiness itakayonitoa

Itakayokutoa?

Idea haiwezi kukutoa.

Real work na mipango inayoeleweka ndiyo itakayokutoa.

Idea is nothing kama hutofanya kazi yakuifanya hiyo idea iwe reality.

Watu wengi wapo na idea but they don’t know where to get next meal.

Ok.

Kwasababu umeuliza idea tu ngoja nikwambie.

Anzisha Social Media Management Agency.

If you are good at it you will make lot of money easily.

If you don’t know how reach me through my email. It is somewhere inside the main post.
 
Mambo vipi?

Leo Jumatano Sept 11 nataka nikuonyeshe njia 5 zinazokuzuia kutengeneza pesa yakueleweka kwenye haya maisha na jinsi unavyoweza kubadilika kwa muda mfupi tu.

Nataka uone mwenyewe na ujipime ili ukifanya maamuzi yakubadilika basi you change for good na kuanzia hapo money will come your way easily.

Kwanza kabisa niseme tu.

There is enough for EVERYONE.

Only poor people wanafikiri kuwa na ziada katika pesa haiwezekani na ndiyo maana every single damn day they struggle financially.

Wao wanafikiria tu how they get next meal.

Money to pay rent next month.

Money to pay water bills next month

Pesa ya kesho kulipia usafiri.

Kila siku ni mawazo jinsi watakavyopata pesa kidogo yakuwasukuma siku inayofuata.

Hayo ni maisha mabaya.

No one want to live like that.

You can change from poor man mentality to successful man mentality.

Ok.

Nisipoteze muda twende kwenye darasa la leo.

Are you ready?

1 • Unasema Unataka Pesa lakini Hakuna chochote Unafanya Kupata Pesa.

Ngoja nikuulize.

Mara ngapi umesema jinsi wanavyohitaji kupata pesa na kujikwamua lakini kamwe hakuna unalofanya kuzipata hizo pesa?

Yani ni kama vile excitement yakupata pesa inayeyuka punde tu unapomaliza kusema hivyo.

Kwanini inakuwa hivyo?

Kwasababu unaendeshwa na poor man mentality.

Hauna Strong Will Power kufuata kile unachosema.

Kumbuka kupata pesa yakueleweka Inabidi uwe na some kind of obsessive mind.

Yaani mawazo yako na matendo yako yanaonyesha unataka pesa kweli and you are ready to go after your goals.

Na hakika ukifanya hivyo utaanza kuona opportunities zakupiga pesa.

Hiyo ni PRAYER.

Successful people wanatumia.

Iwe wanafahamu au hawafahamu.

Namna yao yakufikiri imejengeka hivi.

Na niseme tu ukiwa unawazia pesa na kufanya jambo kuzipata, hiyo maana yake una-vibrate at higher level that money will be attracted to you naturally.

Trust me on this.

Sasa kazi kwako kubadilika katika sehemu hii niliyoelezea au kuendelea na poor man mentality.

2 • Unaogopa Pesa Na Mafanikio kwa Ujumla.

Hivi Unajua watu wengi masikini wanaosema wanahitaji pesa na mafanikio ukiwachunguza hawa watu hawamaanishi wanachosema?

Kwanza kabisa they don’t know how it feels like to have lots of money that you don’t have to worry about next meal or rent for the next 2 years.

Kumbuka watu wenye poor man mentality wanaona kuwa excess katika maisha si kwaajili yao.

Wamejidunisha kiasi kwamba...

They don’t go to business events.

They don’t go to where successful people hang out.

Hawawazii kuishi kwenye neighborhoods tulivu na salama.

Hawawazii kusafiri na kufungua macho kwa kujionea wengine wanachofanya.

Ukiwa na sifa hizi fahamu tu uko na poor man mentality.

Ubongo wako umefungwa kwahiyo kila jambo lenye ubora unaliogopa kwasababu unaona haitawezekana kwako.

But that isn’t true.

Upo hapa duniani kwa kipindi kifupi ili ufanikiwe na si vinginevyo.

Acha kuogopa pesa na mafanikio.

Hata kama lifestyle unayopendelea unaona ni gharama sana kamwe usiseme I CANT AFRORD THAT.

Badala yake sema HOW CAN I AFFORD THAT.

Hii pia ni form of prayer.

Itafungua medula yako na kuona possibilities.

You have to trust me on this one [emoji121]️

3 • Haujui Thamani Ya Ujuzi wako Katika Kazi. And that is so Sad.

Watu wenye poor man mentality hawajui thamani yao kwahiyo hata katika kazi hawajui wanastahili kiwango gani kulipwa.

Na hapo linaibuka jambo muhimu.

Wanapata kidogo siku zote.

Why so?

Kwasababu hakuna atayekupa thamani ya juu iwapo wewe mwenyewe hujielewi.

Kwanza kabisa ili watu unaofanya nao kazi wakuone wa thamani ya juu na kukulipa good money kwa kazi yako inabidi unoe kwanza ujuzi wako.

Jitengee sifa yakujulikana kwa ubora wa kazi zao na fanya kazi ulipwe vizuri.

Nasema hivyo kwasababu usipo demand kulipwa vizuri kwa kazi zako zenye ubora maana yake unamfaidisha mwingine na wewe utazidi kubaki kwenye kulia shida everyday.

Kamwe huwezi kuwa mwenye mafanikio ikiwa hata thamani ya kazi zako hufahamu vizuri.

Utaishia kulipwa pesa mbuzi wakati watu wengine wenye ujuzi kama wako they make millions.

4 • Unapenda Complain na kujiona wewe ni Victim.

Hii ipo miongoni mwa watu wengi wenye poor man mentality.

They like complaining and bitch around.

Wanasuburi kuona nani atawaonea huruma na kuwasaidia.

But trust me.

Hakuna kitu kinatengeneza energy mbaya na kusababisha kufunga opportunity za pesa kama kupenda kulalamika na ku-play victim card.

Ukiwa na hii mentality hakuna mtu atakaye kupa deal.

Na sababu hapo ni wewe kuna na bad energy.

You make everyone around you uncomfortable.

Kwasababu wanajua hauna jipya zaidi yakueleza shida tu.

No one want to hear that.

Mtu atakupa deal au kazi iwapo tu wewe ni optimistic na hauplay victim card.

You are amazing to be around people.

Upo na energy poa.

Nikushauri leo acha ku-complain about everything.

Get your ass out bed and do something.

Kama haupo na idea yakufanya chochote send me email to makingmoneyonlinetz@gmail.com

Kumbuka kadiri unavyokuwa optimistic ndivyo unavyozidi ku-attract good things into your life. Including money. Lots of money [emoji384][emoji383].

5 • Mzito Kujifunza Ujuzi mpya utakaokusaidia baadaye. Unaona itachukua muda sana.

Unajua nini?

Watu wenye poor man mentality wanapenda sana kupata pesa kwa haraka.

Hiyo ni sawa. Siko na shida kupata pesa haraka.

Who doesn’t?

Lakini tatizo ni kuwa people with poor man mentality hawapo tayari kutumia kiasi cha muda wao kila siku kujifunza skill itakayowasaidia Kutengeneza pesa kwa kipindi cha mbeleni.

Wanaogopa kwasababu itatumia mwezi mmoja au miezi miwili kujifunza hiyo ni muda mrefu sana.

Basi wanaendelea na maisha yao yakuhemea wapi watapata next meal kama ilivyo kawaida yao.

Inashangaza kuwa na aina hii ya mawazo lakini ndiyo hivyo people with poor mentality wanachagua uamuzi kama huu.

Mpaka pale tu watakapo pata mwanga na kuona upande wa pili jinsi successful man mentality inavyofanya kazi ndiyo watajitoa huko walipo na kuanza Kutengeneza pesa.

Na kama ilivyo desturi. Ukionja utamu wa pesa hutorudi nyuma.

Pesa tamu bwana [emoji41]

Inaweza chukua muda.

But with time and dedication everything is possible.

Niishie hapa kwa leo.

Tukutane next time.
Mkuu, hy no. 3 nimeishuhudia

Nakumbuka baada ya kumaliza college 2016 tumesota mtaani hatuna kazi na degrees za Ed basi siku 1 tukasikia interview imetangazwa pale St. Matthews Schools

Tukaenda na washkaji kibao[emoji3][emoji3][emoji3], [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].... hapa imebidi nicheke kwanza maana duh 'inachekesha' siyo mchezo

Katika kuitwa kwenye interview bhana sasa kuna jamaa mmoja alipoitwa kweny 'Panel' ya interviewers ktk moja na mbili jamaa si akalia kabisa eti anaomba vyovyote vile wamsaidie tu apate hyo kazi

Na kwamba yeye yuko tayari ata kufanya kazi kwa ujira wa chakula tu yaani msosi tu ye yuko radhi achape kazi bila shida[emoji87][emoji87][emoji87][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa hapa interviewer Ilibidi wacheke kabisa, na baadae ndo tukasikia hizo story baada ya kuvujishwa. Japo, it's no a joke lkn dah si kiivyo asee

Thamani ya Ujuzi wangu ni kubwa sana.
I will not entertain working to make one richer at the expense of my suffering,just b'se of meal satisfaction.

Kitu ambacho nmekuja kujifunza ata from my young brother. Yeye amesomea hotel management na just Ana certificate lkn the way he values his skills.... Get no words to say

Anafanya kazi kwa restaurant moja mjini. Juzi kati aka decide kuweka cv yake mtandaoni "As a professional Barista"... watu toka Qatar wakapenda cv yake wakamtafuta kwa ajili ya kufanya nae kazi watapofungua restaurant yao hapa Bongo next month.

Cha ajabu dogo kaitosa hy job kwa kushindwana salary scale [emoji33] dogo anataka take home ianzie 600k wao wamegota 550k na hapo wamempa incentives kibao ikiwemo apartment ya kuishi, gym for 2 months [emoji16] nk

Nikajifunza kitu kikubwa sana from this scenario, "Kuthamini Ujuzi ulionao ".

Na km hujui Thamani ya Ujuzi wako wengine watatumia Ujuzi wako kwa manufaa yao.
 
Yes kutambua thamani ya ujuzi wako ni muhimu.

Inatakiwa uwe reasonable.

Kiasi unachouliza ulipwe kiwe kinaendana na value unayoenda kutoa.

Hii ni kanuni muhimu sana.
 
Itakayokutoa?

Idea haiwezi kukutoa.

Real work na mipango inayoeleweka ndiyo itakayokutoa.

Idea is nothing kama hutofanya kazi yakuifanya hiyo idea iwe reality.

Watu wengi wapo na idea but they don’t know where to get next meal.

Ok.

Kwasababu umeuliza idea tu ngoja nikwambie.

Anzisha Social Media Management Agency.

If you are good at it you will make lot of money easily.

If you don’t know how reach me through my email. It is somewhere inside the main post.
Experience plus copywritting skills & techiniques. Hongera mkuu upo Epic na nimejifunza some stuffs pia
 
Haya tunayasoma sana kwenye vitabu,tupe experience yako ukafika hapo unapodhani wengine wamekwama!

Kusoma tu haitoshi.

Hata usome 10000 Pages books usipo kuwa tayari ku-apply uliyosoma kwenye real life you are not good my friend.

Experience yangu hiyo ni topic nyingine. I can share with JF if I choose so. Kwa sasahivi jikite kwenye mada iliyopo mezani.
 
Sema vitu unavyofanya kwenye real life kitengeneza pesa na sio mukwara ya maneno

Unafanya nini na unapata total revenue shingapi at end of the year

Umefungua kampuni ngapi mpaka sasa
Weka na website zake tuzione hapa
Maneni matamu bila kufuonesha real action na prove it nothing shows us here bro
Acha maneno sema vitu anafanya
 
Weka achievement zako hapa umefanya nini umetoboa life

Weka hapa tujue unasomeka wapi kwenye mitandao

Kampuni ngapi mpaka sasa umefungua

Nimafanyikio gani umeyapata mpaka sasa umewekeza kwenye nini?
 
Sema vitu unavyofanya kwenye real life kitengeneza pesa na sio mukwara ya maneno

Unafanya nini na unapata total revenue shingapi at end of the year

Umefungua kampuni ngapi mpaka sasa
Weka na website zake tuzione hapa
Maneni matamu bila kufuonesha real action na prove it nothing shows us here bro
Acha maneno sema vitu anafanya

Acha hasira boss.

Unataka kujua mambo ninayofanya.

Ok, here we go

1 • Naendesha Tours Company in partnership since 2017 (Main income)

2 • Niaendesha Airbnb Business Hapa Arusha. One big modern house na one room apartment Moshono (main income also)

3 • I’m self publishing author. Nina kitabu changu nauza lulu.com

4 • I’m building online business Brand. Online Hustle Tz. Which makes me some money to buy groceries. I have only 4 months

5 • Naendesha side hustle nasaidia wageni wanaotoka America na Europe wana repatriate to Tz kupata nyumba nzuri zaku-rent hapa Arusha, work permit and everything they need to make their stay comfortable.

I’m good bro.

Vipi una swali lingine?

I’m willing to answer.

Keep them coming.
 
Yaani wewe mwenyewe unajita your good ?
Acha watu wakupe credit bana ukijisemea hivyo unakuwa sio ?
Mo ni tajiri ila yeye hasemi kuwa ni tajiri

Partnership haina jina Mkuu?
Kitabu hakina jina Mkuu? Umeuza kopi ngapi mpaka sasa ?

How did you start your partnership company ?
How did you rise your capital ? How did you get capital?
Unategeneza shingapi hapo kwenye compuni zako ?
How did you start your business?

Humu jamii forum lengo lako kubwa sana la kuandika uuzi ni nini?
Do believe that we Tanzanian we have low mind?

How are you good?

How is the total revenue made by your companies?
 
Get life man.

I think you are stupid to think im going to share my personal info with a random people.

You are full of negativity and doubts.

If you are not going to bring up some constructive points I won’t reply.

Is that fair with you?
 
Yaani wewe mwenyewe unajita your good ?
Acha watu wakupe credit bana ukijisemea hivyo unakuwa sio ?
Mo ni tajiri ila yeye hasemi kuwa ni tajiri

Partnership haina jina Mkuu?
Kitabu hakina jina Mkuu? Umeuza kopi ngapi mpaka sasa ?

How did you start your partnership company ?
How did you rise your capital ? How did you get capital?
Unategeneza shingapi hapo kwenye compuni zako ?
How did you start your business?

Humu jamii forum lengo lako kubwa sana la kuandika uuzi ni nini?
Do believe that we Tanzanian we have low mind?

How are you good?

How is the total revenue made by your companies?

Amejiita Good au umemchokonoachokonoa hata Mo ukimchokonoa atasema yeye Good Hakuna anayetaka dharau...wewe jamaa ni negative sana.
 
Back
Top Bottom