Get life man.
I think you are stupid to think im going to share my personal info with a random people.
You are full of negativity and doubts.
If you are not going to bring up some constructive points I won’t reply.
Is that fair with you?
Huyu Mtu ananitukana tu jamani
Hapa tunao veeified members kabisa
Kuna Yeriko Nyerere na wengine
Baasi hata hisitoshe bado hujasema vizuri
Ulianzaje biashara ? ( ulianzaje anzaje ???)
Mtaji ulipata wapi?
Personal life yako ikoje?
Are you married or not ?
How many years old are you?
Umeshafanya biashara ngapi mpaka sasa hivi zikafa ?
Partership wako mlifahamiana vipi?
Ebu soma uzi wa Ontario utaelewa mengi?
Be specific maneno na vitendo nitofauti ?
How do you manage to run some many business?
Umeshawahi kupata risk?
Samahani kama nimekuuzi kusu personal information na ninaona unauzi chacha anatakiwa ujipambanue tuekuelewe vizuri
Haya maneno ulioandika hapa sio mapya ?wala mageni ?
Kwa kuwa nikwambia kuhusu personal information umekata hakuna shida sikuwa na plan mbaya wengine huwa wanajitambulisha kabisa hapa natuwasoma vozuri kabisa
Usichukuie kwa hilo i am sorry
Ila wengi ndio huwa wanafanya hivyo unaoneka unamadini ukijielezea zaidia njisi unatengeneza hela kwenye kampuni zako
Online business how you started ?
Changamoto unazozipa huko?
Utakuwa umetoaa mwanga zaidi
I am sorry kwa hilo