The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Msanii maarufu wa rap music Curtis Jackson ama 50 Cent mzee wa just little bit, 21 questions, amusement park amesema watu wachague Donald Trump.
50 Cent ameendelea kudai kua watu wanaosema Trump hapendi watu weusi ni watu waliochanganyikiwa, watu wasio na akili.
Fact Checking: Trump ndie rais aliewatendea mema watu weusi kuliko rais yoyote katika historia ya Marekani kwa miaka 100 iliyopita.
Democrats wamekua wakisambaza huu uvumi na kuchochea maandamano ya magengeya wahuni kusema Trump hapendi watu weusi.
Ni muda muafaka sasa watu wanaanza kuona ukweli kua Trump ndie anaewapeda watu weusi.