50 Cent: Chagueni Donald Trump, wanaosema Trump hapendi watu weusi ni watu waliochanganyikiwa

20 cent
FB_IMG_1603347338661.jpg
 
Tafsiri: Usenge huu (Kura kwa Tump)
Nimemaliza... kwa New York ni usenge
hata hivyo kamwe hushindi. Sijali Trump hawapendi Waafrika. Asilimia 62% ni uchizi wa kisenge huu
 
Msanii maarufu wa rap music Curtis Jackson ama 50 Cent mzee wa just little bit, 21 questions, amusement park amesema watu wachague Donald Trump.

50 Cent ameendelea kudai kua watu wanaosema Trump hapendi watu weusi ni watu waliochanganyikiwa, watu wasio na akili.

Fact Checking: Trump ndie rais aliewatendea mema watu weusi kuliko rais yoyote katika historia ya Marekani kwa miaka 100 iliyopita.

Democrats wamekua wakisambaza huu uvumi na kuchochea maandamano ya magengeya wahuni kusema Trump hapendi watu weusi.

Ni muda muafaka sasa watu wanaanza kuona ukweli kua Trump ndie anaewapeda watu weusi.

View attachment 1605645
Nyani Ngabu njoo utafsirie vijana wa bongo,kimarekani kinawapasua kichwa
 
Tafsiri: Usenge huu (Kura kwa Tump)
Nimemaliza... kwa New York ni usenge
hata hivyo kamwe hushindi. Sijali Trump hawapendi Waafrika. Asilimia 62% ni uchizi wa kisenge huu
Hiyo tafsiri ya kuweka nukta ama full stop umeitoa wapi?
 
Tafsiri: Usenge huu (Kura kwa Tump)
Nimemaliza... kwa New York ni usenge
hata hivyo kamwe hushindi. Sijali Trump hawapendi Waafrika. Asilimia 62% ni uchizi wa kisenge huu
Dah [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Msanii maarufu wa rap music Curtis Jackson ama 50 Cent mzee wa just little bit, 21 questions, amusement park amesema watu wachague Donald Trump.

50 Cent ameendelea kudai kua watu wanaosema Trump hapendi watu weusi ni watu waliochanganyikiwa, watu wasio na akili.

Fact Checking: Trump ndie rais aliewatendea mema watu weusi kuliko rais yoyote katika historia ya Marekani kwa miaka 100 iliyopita.

Democrats wamekua wakisambaza huu uvumi na kuchochea maandamano ya magengeya wahuni kusema Trump hapendi watu weusi.

Ni muda muafaka sasa watu wanaanza kuona ukweli kua Trump ndie anaewapeda watu weusi.

View attachment 1605645
Hivi kuna mtu anayemsikiliza 50 Cent among black people there in America? Yeye na loser Lil Wayne wanasaidiaje their own communities there, tuambieni. Kuna jamaa black (contributor wa CNN, jina nimesahau) alikuwa anahojiwa CNN juu ya hili, bila kusita akasema kina 50 na rappers wengine si wawakilishi wa Blacks, hawana impact yeyote katika uchaguzi wa Marekani because Blacks already know kuwa Trump is a loser na racist na hata hivyo hawawezi kusikiliza blacks wanaomsupport Trump.
 
Bora umeeka na kipande cha english maana ni tafsiri ya tofauti na ulichoandika, but anyway inglish yenyewe ya kidumu na fagio na jembe mimi nani nikulaumu kwa lugha iliyokuja na meli? Bahari imekauka na kinge kimeisha. Mic dropped
Sema hapo kaongea tofauti but nikweli 50cent aliongea anavyosema mjomba hapo juu anamsapoti trump
 
Msanii maarufu wa rap music Curtis Jackson ama 50 Cent mzee wa just little bit, 21 questions, amusement park amesema watu wachague Donald Trump.

50 Cent ameendelea kudai kua watu wanaosema Trump hapendi watu weusi ni watu waliochanganyikiwa, watu wasio na akili.

Fact Checking: Trump ndie rais aliewatendea mema watu weusi kuliko rais yoyote katika historia ya Marekani kwa miaka 100 iliyopita.

Democrats wamekua wakisambaza huu uvumi na kuchochea maandamano ya magengeya wahuni kusema Trump hapendi watu weusi.

Ni muda muafaka sasa watu wanaanza kuona ukweli kua Trump ndie anaewapeda watu weusi.

View attachment 1605645
Hahaha
 
Back
Top Bottom