Rapa kutoka New York Marekani 50 Cent ameendelea kuwashushia zigo la lawama familia ya Jay Z kwa kile anachodai haiwatendei haki wasanii wengine kutokana na nafasi ambayo familia hio inayo kwenye Grammy na maeneo mengine.
Kwa muda sasa Jay Z amekua akipokea lawama nyingi kutoka kwa 50 Cent ambae anadai Jay Z alianza kumwagiwa Grammy baada ya kusaini mkataba wa kumuoa Beyonce.
"Jay Z ameshinda tunzo za Grammy 24, Beyonce 35 hadi watoto wao wanagrammy, lakini 2PAC hajawahi kushinda Grammy. Hio inakuonesha kila kitu kuhusu Grammy."
"Career ya Jay Z ilizidi kuapishwa kwa sababu alimuoa Beyonce. Kujihusisha kwake na Beyonce kumeifanya Career yake imekua tofauti. Alipomuoa tuu ndipo alipopokea tunzo 16 hadi 17 za Grammy kwa sababu alikua na Beyonce. Hivi sasa anatakribani tunzo 25 za Grammy.*
" Hadi watoto wao wanatunzo za Grammy, jambo ambalo linachekesha kwa sababu hawaimbi wala hawa Rap. Sasahivi inakua kama uchizi kwa sababu wanajizawadia wenyewe tunzo za Grammy. Wakati wengine wanaostahili hawajapata hata tunzo moja."
*Hii imeifanya huu mfumo uonekana ni wa kifisadi. Kwa mfano 2pac hajawahi kushinda Grammy hata moja. Lakini Jay Z anazo 24. Huu ni uchizi" amesema 50 Cent