pesakilakitu JF-Expert Member Joined Aug 17, 2024 Posts 1,618 Reaction score 2,861 Feb 10, 2025 #21 Al-mukheef said: Sasa Beyoncé yeye ni kama nani Click to expand... Anachukua nguvu ya kutawala kutoka Malkia bahari huyo wanamnyenyekea sana
Al-mukheef said: Sasa Beyoncé yeye ni kama nani Click to expand... Anachukua nguvu ya kutawala kutoka Malkia bahari huyo wanamnyenyekea sana
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,181 Reaction score 20,148 Feb 10, 2025 #22 Watu wanaopenda kulalamika baada ya wenzao kupata kitu flani mi huwa nawaona wana roho ya kutu tu. Kuwasema watu vibaya ni negative anergy tu haisaidii kitu chochote kwenye jamii
Watu wanaopenda kulalamika baada ya wenzao kupata kitu flani mi huwa nawaona wana roho ya kutu tu. Kuwasema watu vibaya ni negative anergy tu haisaidii kitu chochote kwenye jamii
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Feb 10, 2025 #23 Hasara sana