50 cent nilikataa dola laki tano za donard trump

50 cent nilikataa dola laki tano za donard trump

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habar hapo juu

Yule rapa mkal na mtata kunago game la hiphop anayetokea pande za state kule anakoish mshikaji wangu nyan ngabu mwenyekiti wa wabeba mabox

Amedai alikataa kitita cha dola laki tano za kimarekana alizopewa na rais donard trump ili azunguke naye kwenye kampen

Cent amedai alipewa jukumu la kuwashawishi wamarekan weus ili wampigie kura mtu mzima trump lakin jamaa alichomoa na kudai hela hela hizo siyo nzur kwake
eHwUcn03-1024x576.jpeg

LONDON BABY
 
Kwani alipozikataa wakati ule wa kampeni hakuwataarifu raia? Kipi kimetokea aseme kipindi hiki au wewe mleta uzi ndio umeleta hapa jamvini zilipendwa?
 
Sijawahi kuskia kuna hela ambazo sio nzuri...aseme tu mkwanja haukutosha kwa upande wake.. [HASHTAG]#NiacheKidogo[/HASHTAG]
 
Chanzo radio hot ebro 97 ya jijin new york
 
Kwani alipozikataa wakati ule wa kampeni hakuwataarifu raia? Kipi kimetokea aseme kipindi hiki au wewe mleta uzi ndio umeleta hapa jamvini zilipendwa?
Hapana mkuu hiz habar ni za jana kutoka redio hot ebro ya huko new york city
 
Kama tatizo ni kuzunguka nae tu, Trump angenipa mimi robo ya hiyo pesa tu, tungezunguka Marekani yote hata kwa miguu
 
Kama tatizo ni kuzunguka nae tu, Trump angenipa mimi robo ya hiyo pesa tu, tungezunguka Marekani yote hata kwa miguu
Aisee uzunguke marekan kwa miguu
 
Sijawahi kuskia kuna hela ambazo sio nzuri...aseme tu mkwanja haukutosha kwa upande wake.. [HASHTAG]#NiacheKidogo[/HASHTAG]
Jamaa alikuwa anaogopa kutembea na trump ambaye ni mbaguz wa rang
 
Aisee sawa...Muda mwingine pesa sio muhimu kuliko utu
 
50 kwani ana ushawishi gani huyo kwa wamarekani? Ingekuwa Jigga sawa
 
Back
Top Bottom