Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii mishahara..najiuliza clubs zinapata wapi pesa hizi za kuwalipa ma top stars? Ndio maana mchumi Wenger ametabiri kuwa kunauwekana wa timu nyingi kubwa kufilisika soon!!
mshahara huo ni ule ambao ac milan ndio wanamlipa na pia la galaxy wanamlipa huo, kitu kinachofanya mshahara wake uwe mkubwa ni football academy yake ya marekani na pia shirikisho la soka la marekani linamlipa kwa kutangaza soka.Mbona Beckham mshahara umepungua sana?