50% kwa 50% kwenye madini yetu. Tuna cha kujifunza kuondolewa kwa Laurent Gbagbo wa Ivory coast

true hata sasa sababu ya ukosefu wa umoja thus tunaumia watu wanjua pombe ni hatari kwa afya wanaambiwa wasilewe hawasikii wantaka kulewa tena sababu wachache wanasaza kodi zetu.Tukilewa tena tumekwiisha
 
mkuu nawe hujui kitu, adui wa muafrika ni mzungu, mzungu anaangalia conection ili avune atakacho anapoikosa conection kwa watawala hupitia upinzan, angalia uganda na kenya kama wazungu wasingekua na conection yakupata wakitakacho napo kungekua na timbili la kisiasa kama hapa kwetu bt kwa kua wapo na mzungu hata wafanye ushetan gan hakuna wakuwamulika.
 
mkuu si kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…