50% kwa 50% kwenye madini yetu. Tuna cha kujifunza kuondolewa kwa Laurent Gbagbo wa Ivory coast

Vijana tujitahidi kuchimbua hizi story na historia kiundani sio juu juu na kuongozwa na ushabiki..

Historia ya Wazungu na Dunia ikiwemo Africa pia ni pana sana kuliko watu mnavyoichukulia juu juu..

Kifupi, Mchawi wa Africa ni Mwafrica mwenyewe..
Hakuna siku Africa kabla na baada ya uhuru ilikuwa pamoja, tatizo liko pale pale mchawi wa Africa ni Mwafrica...WaAfrica wenyewe wanashindwa kutendeana haki kwa tamaa zao binafsi wakigawanyika wanasingizia mabeberu..
true hata sasa sababu ya ukosefu wa umoja thus tunaumia watu wanjua pombe ni hatari kwa afya wanaambiwa wasilewe hawasikii wantaka kulewa tena sababu wachache wanasaza kodi zetu.Tukilewa tena tumekwiisha
 
Vijana tujitahidi kuchimbua hizi story na historia kiundani sio juu juu na kuongozwa na ushabiki..

Historia ya Wazungu na Dunia ikiwemo Africa pia ni pana sana kuliko watu mnavyoichukulia juu juu..

Kifupi, Mchawi wa Africa ni Mwafrica mwenyewe..
Hakuna siku Africa kabla na baada ya uhuru ilikuwa pamoja, tatizo liko pale pale mchawi wa Africa ni Mwafrica...WaAfrica wenyewe wanashindwa kutendeana haki kwa tamaa zao binafsi wakigawanyika wanasingizia mabeberu..
mkuu nawe hujui kitu, adui wa muafrika ni mzungu, mzungu anaangalia conection ili avune atakacho anapoikosa conection kwa watawala hupitia upinzan, angalia uganda na kenya kama wazungu wasingekua na conection yakupata wakitakacho napo kungekua na timbili la kisiasa kama hapa kwetu bt kwa kua wapo na mzungu hata wafanye ushetan gan hakuna wakuwamulika.
 
mkuu si kweli
 
Back
Top Bottom