50 kwa 50 tayari wanaume wanachamba

50 kwa 50 tayari wanaume wanachamba

Kiplayer

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
1,180
Reaction score
1,964
Indicator mojawapo kwa tz ni ongezeko la wanaume wengi katika radio na tv stations kuendesha vipindi ambavyo hapo zamani vilionekana vinafaa kuendeshwa na wanawake.
 
Indicator mojawapo kwa tz ni ongezeko la wanaume wengi katika radio na tv stations kuendesha vipindi ambavyo hapo zamani vilionekana vinafaa kuendeshwa na wanawake.
Kweli Tz kuna Radio presenters au machawa tu?
 
Hao sio wanaume ni mabwabwa tu. Sasa wakiitwa wanaume utampeleka Juma Lokole au Dr. Kumbuka.
 
Back
Top Bottom