kwaiyo hao wana jf ulowataja ndo wananuka midomo au?Utafiti ulio rasmi unaonesha asilimia 50 ya wabongo tunatoa harufu kali kwenye midomo.Source: Gazeti la Mwananchi.My Take:Hii inapelekea either watz hawapigi mswaki mara 2 au 3 kwa siku au dawa za meno tutumiazo hazina viwango.Sasa ukichukuliwa watz milioni 40, nusu yake ni mil 20 ambao kuna harufu kali toka kinywani. Kwa haraka haraka, hii ina maana kati ya watu 5 basi 3 kati yao wanatoa harufu kali(ukichukulia idadi ya mil 15 ya watu wazima)Rejao, FaizaFoxy, Mwita25, Bujibuji, Rev, Lizzy, Smile, The Boss, AfroDenzi, Invisible na wengineo mpo hapo!!MziziMkavu toa maoni yako!!
kwaiyo hao wana jf ulowataja ndo wananuka midomo au?
okee nimekusoma mchango wangu ni huu watanzania wengi wanaamini kusafisha mdomo ni asubuhi tu basi ,mtu anakula mazagazaga yake huko siku nzima asafishi kinywa hadi asubui ifike unategemea nini mkuu?pia hatuna desturi ya kuwaona dentist mara kwa marani vema watu wawe wanasafisha kinywa marakwamara baada ya kula sio lazima uswaki kuna dawa za kusukutua tu zinaacha mdom o muruaI'm responsible for what I say, I'm not responsible for what you understand!! Hao nniliowataja najua michango yao ni muhimu sana kwenye hii mada kwa kutuelimisha zaidi....Smile vp bana?? umeamkia kaunta ya juu nini?? Na ww pia nimekutaja, I like ur Swaga!!
Utafiti ulio rasmi unaonesha asilimia 50 ya wabongo tunatoa harufu kali kwenye midomo.
Source: Gazeti la Mwananchi.
My Take:
Hii inapelekea either watz hawapigi mswaki mara 2 au 3 kwa siku au dawa za meno tutumiazo hazina viwango.
Sasa ukichukuliwa watz milioni 40, nusu yake ni mil 20 ambao kuna harufu kali toka kinywani. Kwa haraka haraka, hii ina maana kati ya watu 5 basi 3 kati yao wanatoa harufu kali(ukichukulia idadi ya mil 15 ya watu wazima)
Rejao, FaizaFoxy, Mwita25, Bujibuji, Rev, Lizzy, Smile, The Boss, AfroDenzi, Invisible na wengineo mpo hapo!!
MziziMkavu toa maoni yako!!
mzima weye? Naona umeshaanza kuichakachua sredi yako mwenyewe!
I'm responsible for what I say, I'm not responsible for what you understand!!
Hao nniliowataja najua michango yao ni muhimu sana kwenye hii mada kwa kutuelimisha zaidi....Smile vp bana?? umeamkia kaunta ya juu nini?? Na ww pia nimekutaja, I like ur Swaga!!