50% ya Watanzania wananuka midomo!!

50% ya Watanzania wananuka midomo!!

We mleta mada kama unafikiri kuwa mdomo wangu unanuka basi utakuwa umekosea sana. Mimi ni mtu wa afya na huwa ninapiga mswaki mara sita kwa siku pia huwa napenda kula pipi kifua ambazo kwa kiasi kikubwa hunisaidia kuondokana na harufu mbaya mdomoni. Sina uhakika kwa hao wengine uliowataja hapo chini.

Mwita25...narudia tena, haimaanishi hao niliowataja basi ndio wahusika wa hii mada kwamba wanatoa harufu!! Ila nahitaji sana michango yao niione...na ndio maana hata huyo MziziMkavu nimesema aandike comments zao..I knw the comments of all those guys/gels niliowametaja hapo juu..
Sasa we unapiga mswaki wara 6 kwa siku ili iweje tena??

Read my comments b4 posting coz Smile nilishamjibu hili:
I'm responsible for what I say, I'm not responsible for what you understand!!
 
Uko sahihi sana,

Hili ni tatizo kubwa kwa watu walio wengi. Mimi mwenyewe hunitokea mara nyingi lakini nimebahatika kujua hivyo na kwa hiyo huwa nachukua hatua.

Halafu kwa bahati mbaya, watu wengi wanaonuka mdomo ni wanaume.......!!!!!
Hebu tupe hatua ambazo huwa unachukua kukabiliana na hili swala ili wengine tupate maujanja ya kukabiliana nalo cuz hili kweli ni janga la kitaifa!
 
sisi tuko vizuri bwana
 
Mmmh ni kweli hayo Dark City.??? Hembu tudadavulie kwanza hapo kwenye red!! Plz...
halafu ningefurahi kama wachangiaji wakatoa some solution kama labda kula pipi kifua, au aina flani ya dawa za meno n.k ingekua bomba sana!!
 
mzima weye? Naona umeshaanza kuichakachua sredi yako mwenyewe!
Mi hili janga limenipitia mbali kodogo aisee..

Komaa hivyohivyo...ukiona tunatoka nje ya mada turudishe fasta tuwe kwenye line!!
 
Sema Mkuu Sizinga
hii ni hatari ya taifa asilimia hamisini duhhhh.

Nway kuna kitu kinaitwa "gingivitis" hii inatoka na damu kutoka kwenye fizi,
na pia huwa kuna rangi nyekundu au rangi ya zambarau
saa nyingine fizi zina umuka na kuwa laini kupiti kaisi..
gingivitis = husababisha harufu mbaya ya mdomo ( Bacteria kwenye fizi)

Pia nimewahi kusikia harufu mbaya ya mdomo pia inakuja
kutoka kwenye koo. ukiwa na njaa au hujala kwa mudaa
pia unaweza ku sababisha harufu mbaya ya mdomo.

Na kama tujuavyo mdodmo ndio sehemu chafu kuliko
sehemu zote mwilini.

Upigaji wa mswaki si meno tu, ukuta wa mdomo, juu, chini
bila kusahau "ULIMI"

Wengi pia hutumia "sugar free shewing gum" zinasaidia sana
kila baada ya kula kitu .mfano extra, eclipse, trident, orbit etc..
zinapatika kwenye maduka tu na bei rahisi tu..
..
 
Jaribio dogo kama unanuka mdomo - Chukua kiganja cha mkono weka mbele ya mdomo kama inch mbili, achama mdomo na upumue kwa nguvu na kiganja kitumike kuzuia hewa toka mdomoni ikurudie ili uinuse kwa pua. Na 'ukisikia' harufu jua jirani yako anasikia mara mbili zaidi yako.
 
Hebu tupe hatua ambazo huwa unachukua kukabiliana na hili swala ili wengine tupate maujanja ya kukabiliana nalo cuz hili kweli ni janga la kitaifa!

Huwa nafanya haya yafutatayo,

1. Napiga mswaki 2-3 times a day (natumia colgate ila najitahidi kutafuta dawa yenye mint). Wakati wa kupiga mswaki nasugua sana ulimi na sehemu nyingine ambazo zinaficha mabaki ya vyakula + dead cells ambavyo ni vyakula vya bacteria (anaerobic bacteria) wanaotoa gesi zenye sulfa nyingi ambazo ndiyo hutoa harufu.
2. Najitahidi kutokaa muda mrefu bila kuongea au kutafuna kitu. Hii inasababisha mdomo kukauka na hivyo kujaza gesi zinazonuka. Natumia chewing gums zenye mint na sukari kidogo (au zisizo na sukari). Pia huwa natumia maji mara kwa mara
3. Ninapohisi hali inakuwa mbaya huwa natumia mouth washes (hizi zipo za aina nyingi kwenye maduka ya dawa)
4. Nakuwa sensitive sana ninapohisi hali si nzuri....najizuia kuongea face to face na mtu au kuongea kwa kumwelekea mtu directly.
5. Kuonana na dentist mara kwa mara ingawa wataalamu wetu wengi wanatushangaa unapokwenda kufanya routine checks!

Yapo mambo mengi ila nimeweka yale ambayo binafsi huwa natumia mara kwa mara,
 
Mmmh ni kweli hayo Dark City.??? Hembu tudadavulie kwanza hapo kwenye red!! Plz...
halafu ningefurahi kama wachangiaji wakatoa some solution kama labda kula pipi kifua, au aina flani ya dawa za meno n.k ingekua bomba sana!!

Hilo la wanaume halina utata...Nimelifuatilia kwa zaidi ya miaka 5 sasa. Pia kuna thread moja tulishawi kulijadili hili suala!!

Nini kifanyike...nimetoa baadhi ya solution ambazo huwa natumia....Wengine wanaweza kuongeza au kuangalia hapa,

8 Ways to Get Rid of Bad Breath
Bad Breath (Halitosis) Causes, Symptoms, and Treatment by eMedicineHealth.com
Halitosis - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Huwa nafanya haya yafutatayo,

1. Napiga mswaki 2-3 times a day (natumia colgate ila najitahidi kutafuta dawa yenye mint). Wakati wa kupiga mswaki nasugua sana ulimi na sehemu nyingine ambazo zinaficha mabaki ya vyakula + dead cells ambavyo ni vyakula vya bacteria (anaerobic bacteria) wanaotoa gesi zenye sulfa nyingi ambazo ndiyo hutoa harufu.
2. Najitahidi kutokaa muda mrefu bila kuongea au kutafuna kitu. Hii inasababisha mdomo kukauka na hivyo kujaza gesi zinazonuka. Natumia chewing gums zenye mint na sukari kidogo (au zisizo na sukari). Pia huwa natumia maji mara kwa mara
3. Ninapohisi hali inakuwa mbaya huwa natumia mouth washes (hizi zipo za aina nyingi kwenye maduka ya dawa)
4. Nakuwa sensitive sana ninapohisi hali si nzuri....najizuia kuongea face to face na mtu au kuongea kwa kumwelekea mtu directly.
5. Kuonana na dentist mara kwa mara ingawa wataalamu wetu wengi wanatushangaa unapokwenda kufanya routine checks!

Yapo mambo mengi ila nimeweka yale ambayo binafsi huwa natumia mara kwa mara,

Safi sana Dark City...lazima niifanyie kazi hii post kivitendo!! Once more thanks!!
 
Sema Mkuu Sizinga
hii ni hatari ya taifa asilimia hamisini duhhhh.

Nway kuna kitu kinaitwa "gingivitis" hii inatoka na damu kutoka kwenye fizi,
na pia huwa kuna rangi nyekundu au rangi ya zambarau
saa nyingine fizi zina umuka na kuwa laini kupiti kaisi..
gingivitis = husababisha harufu mbaya ya mdomo ( Bacteria kwenye fizi)

Pia nimewahi kusikia harufu mbaya ya mdomo pia inakuja
kutoka kwenye koo. ukiwa na njaa au hujala kwa mudaa
pia unaweza ku sababisha harufu mbaya ya mdomo.

Na kama tujuavyo mdodmo ndio sehemu chafu kuliko
sehemu zote mwilini.

Upigaji wa mswaki si meno tu, ukuta wa mdomo, juu, chini
bila kusahau "ULIMI"

Wengi pia hutumia "sugar free shewing gum" zinasaidia sana
kila baada ya kula kitu .mfano extra, eclipse, trident, orbit etc..
zinapatika kwenye maduka tu na bei rahisi tu..
..

Kwa mtazamo wangu msemo wako ni sahihi ukimuhusu mwanaume.
Kwa mwanamke kule ile kitu yetu ndio inaongoza kwa uchafu mwili mzima.
OTIS
 
Kule chini si kuchafu kama unavyo fikiria
ukiosha hata mara mbili tu kwa siku si mbaya..

Mdomo hata upige mswaki kila saa lazima kuna bacteria
wanao baki. Na tumia mdomo kula , fikiria ni mara ngapi
kwa siku unaweka kitu mdomoni. Na kila uwekacho mdomoni
unaacha bacteria. Kwa hiyo sikubaliani nawe hata kidogo.
 
Back
Top Bottom