kwaiyo hao wana jf ulowataja ndo wananuka midomo au?
NImesema nasafishwa kinywa kwa kula miwa.
Dawa bora kabisa.
OTIS
hiyo Research imefanyikaje?
Kule chini si kuchafu kama unavyo fikiria
ukiosha hata mara mbili tu kwa siku si mbaya..
Mdomo hata upige mswaki kila saa lazima kuna bacteria
wanao baki. Na tumia mdomo kula , fikiria ni mara ngapi
kwa siku unaweka kitu mdomoni. Na kila uwekacho mdomoni
unaacha bacteria. Kwa hiyo sikubaliani nawe hata kidogo.

Najihisi kupingana na wewe kajukuu.....!!
Hapo blue...una maana ya douching???
Sawa bwana,
Najaribu kupiga picha kwamba uko kwenye mkutano na Boss wako au mkesha kanisani halafu una kapu la miwa!!
hahahah go ahead babu..
Nahitaji chemsha bongo , sema tu , Ntajaribu kukujibu ..
Na maanisha kuosha ukiwa unaoga . Maana nikisema kuoga
bila kusema kuosha huku chini mwingine anaweza asielewe.
Sema Mkuu Sizinga
hii ni hatari ya taifa asilimia hamisini duhhhh.
Pia nimewahi kusikia harufu mbaya ya mdomo pia inakuja
kutoka kwenye koo. ukiwa na njaa au hujala kwa mudaa
pia unaweza ku sababisha harufu mbaya ya mdomo.
.
JM - kweli its for great thinkers - points za Afrodezi ni za ukweli kabisa - hata hivyo it applies to urban life rather than rural life -
hata hivyo ukiwa rural - piga mswaki ni na sugua meno na mitii kama |mdaa' huwezi nuka mdomo -
kuwa na tumbo lenye magonjwa - chafu, minyoo, safuri, etic unaweza nuka mdomo hata kama unapiga meno, fiizi, ulimi kwa makini
Wazazi tuwalee watoto wetu - kuwafundisha jinsi ya kusuga meno - na kucheki harufu midomoni mwao mara kwa mara - na watakuwa wanajali issue hizi - ACHALI MIDOMO - VIKWAPA ETC, --- UFUAJI CHUPI ETC.
Japo mdomoni kwaingia vitu vingi hakukufanyi kuwe kuchafu kuliko HQ.
Kule downstairs ni kuchafu zaiidi kutokana na majimaji yaliyopo kule na zaidi geographical location ilivyo.
Pako so remote.
Bottom line matumizi ya mara kwa mara ya mdomo yanasaidia kuusafisha kwani ukila at the same time mdomo watakata.
HQ je?
OTIS
wao,
Okay nijuavyo mimi ni kwamba
kule chini kuna maji "yanayotoka ukeni"
Na hayo maji kazi yake ni ku tunza usafi wa sehemu hiyo.
Ila hayo maji unatakiwa kuyasafisha kila baada ya masaa kadhaa
ndio maana wana recommend kuoga at listi mara mbili kwa siku .
Harufu inatoka na hayo maji kama hayajaoshwa.
Ila mdomo umejaa bacteria kuliko kiti cha choo...
Jaribu ku google..
utapata majibu zaidi mkuu.

Wacheza mpira, hasa huku uswahilini wanahusika sana hapo kwenye socks...zinatema mbaya, bora hata kinywa!!