50% ya Watanzania wananuka midomo!!

Mfumo wa kusaga chakula na kutoa mabaki usiofanya kazi vizuri huweza kuchangia halitosis ( kunuka mdomo) - Piga mswaki, kunywa maji mengi, hakikisha unakula mboga na matunda, epuka vyakula vyenye viungo vikali hasa vitunguu thwaum kwani hufanya harufu mdomoni, hakikisha hupati constipation.
 
TUMIENI DAWA YA ""MFUKUNYUNYU"" HII swafiiiii ila ina harufu kama mkojo
 
Hii dental floss kama ndo inaweki hivi................ mh, sijui..! :A S confused:

FirstLady...hembu fikiria kwa mbali kidogo...yale mate wabongo wananyonyana ndimi daily kisa eti mapenzi yamekolea, aka denda, aka nyama kwa nyama...hii ni zaidi ya hatari, au we unaonaje??

We unazungumzia kunyonyana mate, Raia wanaenda hadi chumvini hawaoni hatari yyt..
 
Hii dental floss kama ndo inaweki hivi................ mh, sijui..! :A S confused:

View attachment 42035

View attachment 42036

What's wrong with that?

Flossing is highly effective in keeping your teeth clean and healthy by getting rid of food debris that gets stuck between your teeth especially in those hard to reach areas of your mouth/teeth.
 
Huyo utafiti haukuweka maeneo husika, ni mkoa gani unaweza kuwa unashika nafasi ya kwanza?
 
What's wrong with that?

Flossing is highly effective in keeping your teeth clean and healthy by getting rid of food debris that gets stuck between your teeth especially in those hard to reach areas of your mouth/teeth.

mkuu maelezo ya utumiaji wake yamenifanya nichoke, nadhani ni a complicated procedure, tena wamesisitiza tufanye daily..... anyway, ntaijaribu..!
 
Washawasha hauna dogo!! Source ya utafiti si nishaiandika hapo juu??au umekimnilia kupost tu kabla hujasoma sawasawa!!
Hahahaha mkuu nimesoma source ni mwananchi nikajua mwananchi mwenyewe ni mmoja wa wale waganga lol. Nalog off
 
Uchafu ni tabia ya watanzania wengi.kunuka mdomo na makwapa ni kama vile kumehalalishwa Tanzania. Utakuta mtu ananuka kuanzia kinywa mpaka makwapa yet nobody says anything. Pia utakuta mwanamke analilia kuolewa wakati hata kujichamba hajuwi, imagine unaenda kitandani na jimama kama hili ananuka kila sehemu utamuoa kweli? Mademu wengi wa kibongo hata walio nje bado wako hivi, kwa nini msibadirike? Na nyie mijibaba mnaonuka tafadhali badirikeni msisubiri mvua ndipo muege, jamani jiheshimuni,

Njaa pia inaweza kuwa sababu...Kiutaalam,kinachozuia mdomo kunuka ni kama ukila breakfast...FYI harufu hiyo inatoka tumboni...I stand to be corrected.
 
Mie nakubaliana na utafiti kutokana na ukweli kwamba watu wengi hawafatishi/hawajali/hawana elimu ya usafi wa mdomo Tanzania na kikubwa labda ni umaskini. Watu hawana uwezo wa kwenda kwa daktari wa meno kila baada miezi sita.

Wangapi wana piga mswaki atleast mara mbili kwa siku na ku-floss? Manake kupiga mswaki tu sio hoja kwani kuna vyakula vinavyonasa ambavyo havitoki kwa kupiga mswaki tu ni lazima u-floss ndio vinatoka.

Na baada hapo pia lazima kumuona daktari wa meno kila baada miezi kufanya usafi zaidi na uchunguzi. Vijidudu vinazaliana kutoka na kutofatisha usafi na kuleta harufu kali, kwahioni kweli watanzania nusu wananuka midomo kwa vile hawana uwezo, hawana elimu, na hawa jali usafi wa meno.
 
Njaa pia inaweza kuwa sababu...Kiutaalam,kinachozuia mdomo kunuka ni kama ukila breakfast...FYI harufu hiyo inatoka tumboni...I stand to be corrected.

Kuna harufu za mdomo ambazo zinasababishwa na tumbo kama mtu amezingatia kila kitu kinachohusiana na usafi wa mdomo.
 
Njaa pia inaweza kuwa sababu...Kiutaalam,kinachozuia mdomo kunuka ni kama ukila breakfast...FYI harufu hiyo inatoka tumboni...I stand to be corrected.

Hapana mkuu...Kiwanda cha harufu ni mdomo...Fuatilia post za awali pamoja na shule ya Bro NN!
 
Umeongea mambo ya maana sana ila nashindwa kuelewa kwa nini umeongea kwa ukali!!
 
Kuna harufu za mdomo ambazo zinasababishwa na tumbo kama mtu amezingatia kila kitu kinachohusiana na usafi wa mdomo.
Ukila breakfast,inazuia ile harufu mbaya kutoka tumboni kuweza kutoka through mdomo...

So inawezekana pia ukapiga mswaki vyema tu na hizo dawa za meno lakini bado mdomo ukanuka!

Njaa ndo sababu kubwa,then Hygiene...

Again i stand to be corrected!
 
Hapana mkuu...Kiwanda cha harufu ni mdomo...Fuatilia post za awali pamoja na shule ya Bro NN!
Mkuu shukran,
Sijafuatilia posts zote kwenye mjadala huu,na pengine nime imiss hiyo shule ya NN...
Na ndiyo maana nilisema i stand to be corretected.

Kuna yanayosemwa humu ndani ambayo pia inabidi usiyameze mazima mazima.

Mnapozungumzia unukaji wa mdomo, mnazunguzmia nyakati gani za siku?

Certainly huwezi kuona kuwa kuna mtu anaweza asinuke mdomo asubuhi na badaye mchana akawa ananuka mdomo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…