Mtafiti1
JF-Expert Member
- Mar 5, 2011
- 263
- 148
Noana mwanachi nalo karibia linakuwa la udaku
Hao Mwananchi nao 50% ni victim au ndio wenyewe wamejitafiti?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noana mwanachi nalo karibia linakuwa la udaku
JM - kweli its for great thinkers - points za Afrodezi ni za ukweli kabisa - hata hivyo it applies to urban life rather than rural life -
hata hivyo ukiwa rural - piga mswaki ni na sugua meno na mitii kama |mdaa' huwezi nuka mdomo -
kuwa na tumbo lenye magonjwa - chafu, minyoo, safuri, etic unaweza nuka mdomo hata kama unapiga meno, fiizi, ulimi kwa makini
Wazazi tuwalee watoto wetu - kuwafundisha jinsi ya kusuga meno - na kucheki harufu midomoni mwao mara kwa mara - na watakuwa wanajali issue hizi - ACHALI MIDOMO - VIKWAPA ETC, --- UFUAJI CHUPI ETC.
mkuu hii famasi iko pande za wapi?
FirstLady...hembu fikiria kwa mbali kidogo...yale mate wabongo wananyonyana ndimi daily kisa eti mapenzi yamekolea, aka denda, aka nyama kwa nyama...hii ni zaidi ya hatari, au we unaonaje??
Hii dental floss kama ndo inaweki hivi................ mh, sijui..! :A S confused:
View attachment 42035
View attachment 42036
What's wrong with that?
Flossing is highly effective in keeping your teeth clean and healthy by getting rid of food debris that gets stuck between your teeth especially in those hard to reach areas of your mouth/teeth.
Hahahaha mkuu nimesoma source ni mwananchi nikajua mwananchi mwenyewe ni mmoja wa wale waganga lol. Nalog off
Washawasha hauna dogo!! Source ya utafiti si nishaiandika hapo juu??au umekimnilia kupost tu kabla hujasoma sawasawa!!
Utafiti ulio rasmi unaonesha asilimia 50 ya wabongo tunatoa harufu kali kwenye midomo.
Source: Gazeti la Mwananchi.
My Take:
Hii inapelekea either watz hawapigi mswaki mara 2 au 3 kwa siku au dawa za meno tutumiazo hazina viwango.
Sasa ukichukuliwa watz milioni 40, nusu yake ni mil 20 ambao kuna harufu kali toka kinywani. Kwa haraka haraka, hii ina maana kati ya watu 5 basi 3 kati yao wanatoa harufu kali(ukichukulia idadi ya mil 15 ya watu wazima)
Rejao, FaizaFoxy, Mwita25, Bujibuji, Rev, Lizzy, Smile, The Boss, AfroDenzi, Invisible na wengineo mpo hapo!!
MziziMkavu toa maoni yako!!
Njaa pia inaweza kuwa sababu...Kiutaalam,kinachozuia mdomo kunuka ni kama ukila breakfast...FYI harufu hiyo inatoka tumboni...I stand to be corrected.
Njaa pia inaweza kuwa sababu...Kiutaalam,kinachozuia mdomo kunuka ni kama ukila breakfast...FYI harufu hiyo inatoka tumboni...I stand to be corrected.
Uchafu ni tabia ya watanzania wengi.kunuka mdomo na makwapa ni kama vile kumehalalishwa Tanzania. Utakuta mtu ananuka kuanzia kinywa mpaka makwapa yet nobody says anything. Pia utakuta mwanamke analilia kuolewa wakati hata kujichamba hajuwi, imagine unaenda kitandani na jimama kama hili ananuka kila sehemu utamuoa kweli? Mademu wengi wa kibongo hata walio nje bado wako hivi, kwa nini msibadirike? Na nyie mijibaba mnaonuka tafadhali badirikeni msisubiri mvua ndipo muege, jamani jiheshimuni,
Ukila breakfast,inazuia ile harufu mbaya kutoka tumboni kuweza kutoka through mdomo...Kuna harufu za mdomo ambazo zinasababishwa na tumbo kama mtu amezingatia kila kitu kinachohusiana na usafi wa mdomo.
Mkuu shukran,Hapana mkuu...Kiwanda cha harufu ni mdomo...Fuatilia post za awali pamoja na shule ya Bro NN!