afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,150
- 9,255
Maumivu ya kichwa huanza polepole!!
lakini ukichukua ASPRIN au KLOROKWIN yana yeyuka taraaaatiiibuuu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maumivu ya kichwa huanza polepole!!
lakini ukichukua ASPRIN au KLOROKWIN yana yeyuka taraaaatiiibuuu..
Sinziga! sasa malizia utafiti wako watz wangapi wananuka kwapa?Utafiti ulio rasmi unaonesha asilimia 50 ya wabongo tunatoa harufu kali kwenye midomo.
Source: Gazeti la Mwananchi.
My Take:
Hii inapelekea either watz hawapigi mswaki mara 2 au 3 kwa siku au dawa za meno tutumiazo hazina viwango.
Sasa ukichukuliwa watz milioni 40, nusu yake ni mil 20 ambao kuna harufu kali toka kinywani. Kwa haraka haraka, hii ina maana kati ya watu 5 basi 3 kati yao wanatoa harufu kali(ukichukulia idadi ya mil 15 ya watu wazima)
Rejao, FaizaFoxy, Mwita25, Bujibuji, Rev, Lizzy, Smile, The Boss, AfroDenzi, Invisible na wengineo mpo hapo!!
MziziMkavu toa maoni yako!!
Dah!! Unanimaliza kabisa hahahaha.....halafu hili la mtu kutafuna vitunguu saumu huwa silielewi kabisa kuna jamaa nilishawahi kumkuta anamenya vitunguu saumu anakula mambo mengine bana hata sijui..lol
TF kuna watu wanavituko kweli dunia hii.
Nadhani ndo maana dunia ni sehemu ya kuvutia..
Naomba sana usile vitunguu maji leo maana nina mpango kabambe... :tongue:
Lol...Lol...Lol...nawewe ndani!! Wasichangia ndio wasafi tu hapa!!!Lol
Pia utafiti huo umezidi kubainisha kwamba kuenea kwa unukaji wa midomo kunasababishwa na tabia ya denda wanazopigana wa tz kila mara ikiwa ni njia ya kuhamasishana kufanya dhambi kinyume na kifungu cha 6 cha kanuni kuu za Mungu.
mkuu mi sijachangia, nimekazia tu ripoti.. Vp wewe umesalimika kwenye hilo janga..? Lol
Hahahaha! Sigusi hata kwa mtutu wa Al Shabab...lolTF kuna watu wanavituko kweli dunia hii.
Nadhani ndo maana dunia ni sehemu ya kuvutia..
Naomba sana usile vitunguu maji leo maana nina mpango kabambe... :tongue:
Sina uhakika kama nimenusurika kwa sababu sijawahi kuhojiwa na hao mwananchi...lakini kiufupi tu ni kwamba hilo ni janga la kitaifa...likipewa support na harufu ya kwapa pamoja na kutooga na kutofua nguo za ndani!!
Nadhani hayo ndiyo mambo ya kutilia nguvu!!
Kunuka mdomo ni janga kubwa sana ingawa watu hawatiki kabisa kuliongelea....Na pia ni ngumu kumueleza mhusika bila kusababisa tafurani..Unaweza kuchapwa ngumii na kuishia kwenda nyumbani na vinundu usoni!!
Kikwapa nacho ni tatizo sana...Hapa sina data ila vijana wadogo wa kiume na baadhi ya wanawake ndio wanachafua sana hali ya hewa.
Kutooga especially kwa sehemu zenye hali ya baridi ni tatizo kubwa...Ukiongeza na tatizo la kutonawa mikono mara kwa mara....Hizi ni big public health problems!
Kutofua chupi na socks....Hayo ni matatizo makubwa sana na especially kwa wanaume!!
Tiendelee na mijadala!!
Hapo umemaliza kilakitu mkuu...ukute ndio mjadala wenyewe umeufunga...nothing to add till dis point
Halafu ni ujinga kuacha kuchangia hii sredi eti kisa utaonekana unatoa harufu kali mdomoni.
:lol::lol: Babu mjadala usiendelee uishie hapa hapa utaumbua vijanaNadhani hayo ndiyo mambo ya kutilia nguvu!!
Kunuka mdomo ni janga kubwa sana ingawa watu hawatiki kabisa kuliongelea....Na pia ni ngumu kumueleza mhusika bila kusababisa tafurani..Unaweza kuchapwa ngumii na kuishia kwenda nyumbani na vinundu usoni!!
Kikwapa nacho ni tatizo sana...Hapa sina data ila vijana wadogo wa kiume na baadhi ya wanawake ndio wanachafua sana hali ya hewa.
Kutooga especially kwa sehemu zenye hali ya baridi ni tatizo kubwa...Ukiongeza na tatizo la kutonawa mikono mara kwa mara....Hizi ni big public health problems!
Kutofua chupi na socks....Hayo ni matatizo makubwa sana na especially kwa wanaume!!
Tiendelee na mijadala!!
Babu DC hapo kwenye soksi hapo achana napo kabisa kuna jamaa aliishawahi kusema ni wanaume wachache sana wenye pair za socks zinazozidi kumiNadhani hayo ndiyo mambo ya kutilia nguvu!!
Kunuka mdomo ni janga kubwa sana ingawa watu hawatiki kabisa kuliongelea....Na pia ni ngumu kumueleza mhusika bila kusababisa tafurani..Unaweza kuchapwa ngumii na kuishia kwenda nyumbani na vinundu usoni!!
Kikwapa nacho ni tatizo sana...Hapa sina data ila vijana wadogo wa kiume na baadhi ya wanawake ndio wanachafua sana hali ya hewa.
Kutooga especially kwa sehemu zenye hali ya baridi ni tatizo kubwa...Ukiongeza na tatizo la kutonawa mikono mara kwa mara....Hizi ni big public health problems!
Kutofua chupi na socks....Hayo ni matatizo makubwa sana na especially kwa wanaume!!
Tiendelee na mijadala!!
Nipo mkuu matatizo ya Dowans na Richmond yanafanya watu kutoonekana kila mara hapa kunako jamvi!Duh umeadimika!! hujambo lakini?