Until_The_End
JF-Expert Member
- Nov 21, 2020
- 1,456
- 2,202
Enzi hizo walikuwa wanachangia kwa hoja nzito, alafu wewe unakuja kutoa kichekoš¤£Hahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enzi hizo walikuwa wanachangia kwa hoja nzito, alafu wewe unakuja kutoa kichekoš¤£Hahaha
[emoji16][emoji51][emoji51]Enzi hizo walikuwa wanachangia kwa hoja nzito, alafu wewe unakuja kutoa kicheko[emoji1787]
Muwe mnapiga miswaki na kusafisha makwapa, unakuta mtu kwapa jeupe limejaa ukoko.Utafiti ulio rasmi unaonesha asilimia 50 ya wabongo tunatoa harufu kali kwenye midomo.
Source: Gazeti la Mwananchi.
My Take:
Hii inapelekea either watz hawapigi mswaki mara 2 au 3 kwa siku au dawa za meno tutumiazo hazina viwango.
Sasa ukichukuliwa watz milioni 40, nusu yake ni mil 20 ambao kuna harufu kali toka kinywani. Kwa haraka haraka, hii ina maana kati ya watu 5 basi 3 kati yao wanatoa harufu kali(ukichukulia idadi ya mil 15 ya watu wazima)
Rejao, FaizaFoxy, Mwita25, Bujibuji, Rev, Lizzy, Smile, The Boss, AfroDenzi, Invisible na wengineo mpo hapo!!
MziziMkavu toa maoni yako!!
Wala sijafukua uzi nmeukuta juu nikapita nao.Naona unafukua zilipendwa