mtu akiwa jf anaongea utafikiri ktk real life ni BakhresaNaona walizaliwa kwa kufuatana, ya kwake si ilikuwa juzi tu!! Bongo raha sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mtu akiwa jf anaongea utafikiri ktk real life ni Bakhresa
sijawahi kumpa ila nishawahi kumfanyia shopping ya mara mbili ya hio pesakibaya zaidi mkeo hujawahi kumpa hata 500k ya shopping
mtu akiwa jf anaongea utafikiri ktk real life ni Bakhresa
Habari waungwana,Msanii asiyeishiwa skendo Tanzania Baba Nyllan au Baba Makabila(Diamond Platnumz) anatarajia kafanya party kubwa hapo Juma Pili kwa kingiilio cha Dola za marekani 500 kwa tiketi moja,Na Tiketi zigawiwa kwa salam sk meneja wake kwa Sisi tusiokuwa na mapene tutaichungulia kwa instagram na JF Pekee. Hongera wenye PESA Kama hizo kuingia kwa party hiyo. View attachment 886664View attachment 886665
Milion 1Kibongo bongo Tz sh ngapi vile
Umeona eeSiwezi kuhangaika na maisha ya mwenzangu.
HajuiDuh, kwani diamond hajui kuwa iki kipindi ya anko magu tunabana matumizi?
HeheheheNingekuwa sina familia ningeenda lakn usawa huu dola 500 si ada ya mwanangu term nzima
Hehehehe that will never happen#Moderator, naomba huu uzi muwatag TRA, wahakikishe ticket zinatolewa kwa risiti za kielektroniki[emoji18]
AiseeMbona anavyo enda kukalabati shule,kuwapatia mikopo zaidi ya wa mama 100 TRA hamjawatagi?
Pia kumbuka kua mgeni rasmi wa party iyo ni BASHITE. Yarch life
Hehehehekibaya zaidi mkeo hujawahi kumpa hata 500k ya shopping
HahahahahaYule all time Tanzanian Sweetheart atakuwepo?[emoji23]
Hahahahaha uuuwiNaona walizaliwa kwa kufuatana, ya kwake si ilikuwa juzi tu!! Bongo raha sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Me namshangaa sanaDogo hela yake siyo ndefu kama anavyotaka watu wamjue. Kwa kifupi anawaomba watu wamchangie pesa ili aweze kufanya hiyo kwenye boti. Watu wenye pesa ndefu hatuwachangishi watu ktk sherehe. Kwa gharama zako unafanya kitu na kuwapa mwaliko wale unaowataka. Dogo anaishi maisha yasiyo asilia na mfuko wake. Mnyamwezi 15 elfu unawachangisha watu?!
Sio kila mtu analipa VAT mkuu inabidi uwe registered kulipa VATcc TRA wasisahau kuchukua VAT yetu hapo, Ova