$500 kuhudhuria party ya kuzaliwa kwa Diamond Platnumz

$500 kuhudhuria party ya kuzaliwa kwa Diamond Platnumz

Dogo hela yake siyo ndefu kama anavyotaka watu wamjue. Kwa kifupi anawaomba watu wamchangie pesa ili aweze kufanya hiyo kwenye boti. Watu wenye pesa ndefu hatuwachangishi watu ktk sherehe. Kwa gharama zako unafanya kitu na kuwapa mwaliko wale unaowataka. Dogo anaishi maisha yasiyo asilia na mfuko wake. Mnyamwezi 15 elfu unawachangisha watu?!
Habari waungwana,Msanii asiyeishiwa skendo Tanzania Baba Nyllan au Baba Makabila(Diamond Platnumz) anatarajia kafanya party kubwa hapo Juma Pili kwa kingiilio cha Dola za marekani 500 kwa tiketi moja,Na Tiketi zigawiwa kwa salam sk meneja wake kwa Sisi tusiokuwa na mapene tutaichungulia kwa instagram na JF Pekee. Hongera wenye PESA Kama hizo kuingia kwa party hiyo. View attachment 886664View attachment 886665
 
Mbona anavyo enda kukalabati shule,kuwapatia mikopo zaidi ya wa mama 100 TRA hamjawatagi?
Pia kumbuka kua mgeni rasmi wa party iyo ni BASHITE. Yarch life
Aisee
kwahiyo Mheshimiwa Hataki Kodi?!
 
Naona walizaliwa kwa kufuatana, ya kwake si ilikuwa juzi tu!! Bongo raha sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha uuuwi
nae alikuwa na kiingilio chake elfu 50 sijui laki 1
 
Dogo hela yake siyo ndefu kama anavyotaka watu wamjue. Kwa kifupi anawaomba watu wamchangie pesa ili aweze kufanya hiyo kwenye boti. Watu wenye pesa ndefu hatuwachangishi watu ktk sherehe. Kwa gharama zako unafanya kitu na kuwapa mwaliko wale unaowataka. Dogo anaishi maisha yasiyo asilia na mfuko wake. Mnyamwezi 15 elfu unawachangisha watu?!
Me namshangaa sana
AENDE ATLANTA MAREKANI akaona Rich Celebrities wanavyofanya pati
Unajua kama Class hukuzaliwa nayo sikuzote utakuwa unatokea kituko kwa jamii akapande ndege akajifunze upya Marekani
 
Back
Top Bottom