[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani wanaiba toroli na Ela wanaziachaHuko ndio nasikia ilikua ukienda sokoni kununua nyanya unabeba hela kwenye toroli. Hafu ukikutana na vibaka, wanakukaba wanakupokonya toroli hela wanazimwaga.
Dogo huyuHuko ndio nasikia ilikua ukienda sokoni kununua nyanya unabeba hela kwenye toroli. Hafu ukikutana na vibaka, wanakukaba wanakupokonya toroli hela wanazimwaga.
noti ya trillion 100
Mkuu nami nimejionea, nadhani sisi wabongo tuna shida sehemu,Miaka si mingi iliyopita, thamani ya 1USD ilikua ni sawa na matrilioni kadhaa ya pesa ya Zimbabwe. Lakin leo thamani ya 1USD ni sawa na 500ZWD tu.
Wakati huo thamani ya 1USD ikiwa matrilioni kadhaa nchini Tanzania 1USD ilikua 1600TZS lakin sasa ni 2400TZS.
Wamewazaje kupandisha thamani ya pesa yao kwa haraka hivyo? Na sisi tunakwama wapi?
View attachment 1906061
ππππππππHuko ndio nasikia ilikua ukienda sokoni kununua nyanya unabeba hela kwenye toroli. Hafu ukikutana na vibaka, wanakukaba wanakupokonya toroli hela wanazimwaga.
Kuna mada huwa tukijadili naishia kupata hasira tu maana kuna watu wanatufanyia kusudi serikalini tunafeli.Kwa level ya pesa ya Zimbabwe ilipofikia namna pekee ikawa kuresort kwenye barter trade.
Anyway, wakati nasoma ilikua rahisi sana ukiulizwa dola 100 ni sawa na sh ngapi as ilikua dola 1 ni 1000.
Serikali imeshindwa kuturudisha pale.
Nchi inatakiwa iwe na uwiano sawa kati ya bidhaa inazoagiza kutoka nje (import) na inazopeleka nje (export) na itapendeza zaidi kama export itaizidi import.
Tz tunaexport nini na nini? Tuna mpango wa kuexport nini na nini? Wizara ya kilimo na Wizara ya Madini nafikiri zilitakiwa ziwe mstari wa mbele katika exportation kwa kuwatafutia wakulima na wachimba madini soko.
Bahati mbaya serikali imefocus kwenye tozo na kodi ya jengo.
Mkuu hata wewe leo ukiamua unaweza kufanya currency denomination upya na ukaipeg pesa yako na pesa ya nchi nyingine let's say Dollar kwa hiyo pesa yako mpya itakua na ratio labda ya 1:1 yaani Dollar 1 sawa na JF shillings 1.Miaka si mingi iliyopita, thamani ya 1USD ilikua ni sawa na matrilioni kadhaa ya pesa ya Zimbabwe. Lakin leo thamani ya 1USD ni sawa na 500ZWD tu.
Wakati huo thamani ya 1USD ikiwa matrilioni kadhaa nchini Tanzania 1USD ilikua 1600TZS lakin sasa ni 2400TZS.
Wamewazaje kupandisha thamani ya pesa yao kwa haraka hivyo? Na sisi tunakwama wapi?
View attachment 1906061
Changamoto yetu ni kwamba tunategemea Extractive industry mfano mazao au madini sasa bei ya bidhaa ikiporomoka duniani then sisi tunaumia na ndio maana mpango wa taifa ukagusia TZ ya Viwanda ili kuongeza thamani ya mazao/madini N.k ili tuuze kma BIDHAA na sio Raw material (nimekosa tafsiri) hii inalenga kuongeza pato la fedha za kigeni ili kuweka urari wa BOP yetu.Kwa level ya pesa ya Zimbabwe ilipofikia namna pekee ikawa kuresort kwenye barter trade.
Anyway, wakati nasoma ilikua rahisi sana ukiulizwa dola 100 ni sawa na sh ngapi as ilikua dola 1 ni 1000.
Serikali imeshindwa kuturudisha pale.
Nchi inatakiwa iwe na uwiano sawa kati ya bidhaa inazoagiza kutoka nje (import) na inazopeleka nje (export) na itapendeza zaidi kama export itaizidi import.
Tz tunaexport nini na nini? Tuna mpango wa kuexport nini na nini? Wizara ya kilimo na Wizara ya Madini nafikiri zilitakiwa ziwe mstari wa mbele katika exportation kwa kuwatafutia wakulima na wachimba madini soko.
Bahati mbaya serikali imefocus kwenye tozo na kodi ya jengo.
Kiswahili chake ni malighafi.Changamoto yetu ni kwamba tunategemea Extractive industry mfano mazao au madini sasa bei ya bidhaa ikiporomoka duniani then sisi tunaumia na ndio maana mpango wa taifa ukagusia TZ ya Viwanda ili kuongeza thamani ya mazao/madini N.k ili tuuze kma BIDHAA na sio Raw material (nimekosa tafsiri) hii inalenga kuongeza pato la fedha za kigeni ili kuweka urari wa BOP yetu.
So tukifanikiwa kma "makaratasi" yanavyosema basi tusishangae USD 1 ikawa sawa na TZS 100.
Lakini........ Pesa kupanda thamani inaharibu uwekezaji unless muwe na soko kubwa la ndani otherwise inakua gharama watu kuja kununua bidhaa huku maana Dollar 1 itanunua vichache kuliko akienda say China au Uganda!!! So unaweza ona Tz kuwa na pesa imeshuka thamani lakini kwa jicho la kiuchumi kma tutakuwa exporters itatuletea shida.... Ila kma tutaendelea kuwa importers basi pesa kupanda thamani ndio itakua na faida.