5000-7000-10000-viingilio TAIFA STARS VS MOROCCO

5000-7000-10000-viingilio TAIFA STARS VS MOROCCO

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kazi ipo watanzania tukaangalie waatanzania wakiwaaiibisha morocco
 
twendeni uwanjani tuacha visingizio viingilio ndo hivyo
 
Sisi wa mikoani je? Kuna kituo cha luninga kimetangaza kuonyesha mechi hii? tujuze kwa mwenye taarifa yeyote.
 
Sisi wa mikoani je? Kuna kituo cha luninga kimetangaza kuonyesha mechi hii? tujuze kwa mwenye taarifa yeyote.

wewe
DANNY MRWANDA /JOSEPH H ,IBRAHM H WANAKUJA TOKA NJE WEWE NATAKA KULETEWA LUNINGA ,,POLE KWA HABARI NYEEPESI HAKUNA LUNINGA ITAKAYOONYESHWA ILA SIKU HIYO HIYO MUDA KAMA HUOHUO KUTAKUWA NA MECHI ZA LIGI KUU YA ENGLAND CHEKI NA VIBANDA VYETU VILE VYA PEMBENI TUMA NAMBA YAKO TUTAKULETEA MATOKEO KILA GOLI LIKIINGIA,....KARIBU MKUU TUWASHANGILIE TAIFASTARS
 
Hii mechi itaanza saa ngapi?Kama ni usiku si wa Kibaha itakua ngumu kutia timu
 
hii mechi itaanza saa ngapi?kama ni usiku si wa kibaha itakua ngumu kutia timu

mkuu tandale kuna sehemu za kulala za alfu 3 ukiitaji pa kulala tuwasiliane
 
Back
Top Bottom