Ni Mike Mwakatundu, a.k.a Mike Tee a.k.a Mnyalu.Tuanze na hapa.
-Nini maana ya maudhui?
-Nini maana ya idea?
Halafu zen tuchambue mashairi ya Make Tea na SIMBA.
Acha maswali ya kijinga wewe hata nikikuelezea htakubaliTuanze na hapa.
-Nini maana ya maudhui?
-Nini maana ya idea?
Halafu zen tuchambue mashairi ya Make Tea na SIMBA.
Nilichogundua hapa huyu Mpwilo ndio Wema Sepetu
Waambie,
Na remix yake Mr. 2 - SUGU akahusika vilivyo
Kwaio huyu Mike T atapata kik sabb ya Platnumz coz hajulikani.
Ni vigumu kusema nilisikia wapi lkn bila shaka hizo idea ni repeatition tu hamna jipya hapo
Mvua na Jua, Maisha ya Boarding zote za Jay Mo.
Ushawahi kuzsikiaga wapi hizi japo kwa lugha ingine??
Tatizo la mtoa mada nahis akurupuka tu chooni bila kuchamba,yaan anataka kama tilte ya nyimbo ni maisha ya boarding basi iwepo title nyingine labda iitwe boarding life...Sasa kwa taarifa yako nyimbo ya maisha ya boarding maudhui ni sawasawa na nyimbo ya Akon ya Gheto....na iyo mvua na jua yaan ndo alicopy na kupaste kwa Tenfold Loadstar na nyimbo yake inaitwa sun and rain....kama huamini kaigoogle iyo nyimbo ndo utaelewa...maana watoto waliozaliwa juzi kama mtoa mada mnamjua Alikiba tu na mibongo fleva yenu.
Mkuu Shark naona unachanganya mambo! Kwenye utunzi kuna two concepts ambazo zinafahamika kama CONTEXT & CONTENTS! Chukulia glass yenye maji... glass kama glass ni context wakati maji ni content iliyopo kwenye glass husika!Lakini sio kwamba hao watu wanafanyia remix na inajulikana kabisa ni remix??
Hata Ray Jay alirudia wimbo wa YOU & ME IN PARADISE na kila mtu anajua, na hata yeye Ray Jay ukimuuliza atakubali kua ni wimbo wa mwengine ameurudia,
JE DIAMOND ANAWEZA KUKUBALI KUA KACHUKUA WIMBO WA MWENGINE??
Nimejitahidi kumsoma mleta mada, nimegundua yafuatayo;
1.Hajui sheria za copyright ya music inasemaje ili nyimbo ionekane imeigwa - kwa sababu ametuletea hiyo nyimbo anayosema imeibwa lakini ziko tofauti kabisa.
2.Chuki zidi ya anayemuongelea - kwa sababu anasema nyimbo ya kawaida tu wakati ni nyimbo iliyopata kudhaminiwa kwa pesa ndefu sana ambapo kwa TZ hii haijapata kutokea na ni nyimbo yenye viewerz wengi kwa muda mfupi kuliko nyimbo yoyote ya kibongo.
3.Anajifanya anajua kumbe hajui kitu - Katutolea mfano wa nyimbo ya J. mo vua na jua na akatuuliza je hii idea ishawahi kutoka duniani?? jibu hiyo nyimbo ilishawahi kutoka kabla ya j.mo na hata sister p alishawahi kui-dis hii nyimbo. Msanii wa majuu aliyoitoa alikuwa ni Tenfold Loadstar nyimbo inaitwa Sun & Rain.
Sasa hebu ngoja nikusaidie kitu kidogo tu.
Sheria ya kimataifa kuhusu haki za muziki zipo wazi kabisa kama ifuatavyo
1.Kufanana kwa jina la wimbo si tatizo wala si kosa
2.Kuimba nyimbo kutoka lugha moja kuipeleka lugha nyingine si kosa(iwapo kama hautumii biti ileile)
3.Nyimbo kufanana baadhi ya maneno si kosa ila yasizidi %80 ya nyimbo yako
4.Lakini pia kuiiga kwa kila kitu si kosa KAMA TU UNAIIGA KWA KUITUMIA JUKWAANI TU NA SI KUIFANYIA AUDIO AU VIDEO NA KUIPELEKA KTK MEDIA ( kama wanavyofanya bongo star search)
Sasa kwa sababu hizo hapo juu nyimbo ya DIAMOND haijavunja sheria yoyote si kwamba tu haijafanana na hiyo nyimbo anayoilazimishia kuwa zimefanan lakini pia hata mashairi ya ndani ni tofauti kama yeye mwenyewe alivyoleta hayo mashairi ya huyo anayesema ameyachukua kutoka kwake zaidi ya kukaribiana kwa jina la wimbo na ni jambo ambalo si kosa ki sheria.
HITIMISHO.
Hii nyimbo ni nzuri sana ndio maana imevunja rekodi ya kutazamwa kule youtube na ndio maana imedhaminiwa kwa pesa ndefu sana.
Mimi nazungumzia kukopi (kuiga) idea, sijazungumzia kuiba mashairi, jaribu kutofautisha then jaribu kunielewa Mkuu wanguNimejitahidi kumsoma mleta mada, nimegundua yafuatayo;