50Cent - 21 QUESTIONS, Mike Tee- JE UTANIPENDA& Diamond- UTANIPENDA?

Hater at work kwahiyo kama mtu kaimba I LOVE YOU na mimi nisiimbe , huyu jamaa sio kosa lake ndio anajua mziki Leo , au na hao kina mike T walikua na mtoto tiffah dangote sijui akaenda kwa nani vile akagukuzwa .
 
Nilichogundua hapa huyu Mpwilo ndio Wema Sepetu
 
Kama mondi kakopi idea ya 50 na Mike T, je nani kamkopi mwenzie kati ya 50 na Mc T? Na mbona hujalizungumzia? Coz naamini kati ya wawili hao yupo mmoja alitoa nyimbo yake baada ya mwenzake....Au sijui tuseme ndo chuki binafsi tu kwa msela kisa anang'ara?
 
Nimejitahidi kumsoma mleta mada, nimegundua yafuatayo;
1.Hajui sheria za copyright ya music inasemaje ili nyimbo ionekane imeigwa - kwa sababu ametuletea hiyo nyimbo anayosema imeibwa lakini ziko tofauti kabisa.
2.Chuki zidi ya anayemuongelea - kwa sababu anasema nyimbo ya kawaida tu wakati ni nyimbo iliyopata kudhaminiwa kwa pesa ndefu sana ambapo kwa TZ hii haijapata kutokea na ni nyimbo yenye viewerz wengi kwa muda mfupi kuliko nyimbo yoyote ya kibongo.
3.Anajifanya anajua kumbe hajui kitu - Katutolea mfano wa nyimbo ya J. mo vua na jua na akatuuliza je hii idea ishawahi kutoka duniani?? jibu hiyo nyimbo ilishawahi kutoka kabla ya j.mo na hata sister p alishawahi kui-dis hii nyimbo. Msanii wa majuu aliyoitoa alikuwa ni Tenfold Loadstar nyimbo inaitwa Sun & Rain.

Sasa hebu ngoja nikusaidie kitu kidogo tu.
Sheria ya kimataifa kuhusu haki za muziki zipo wazi kabisa kama ifuatavyo
1.Kufanana kwa jina la wimbo si tatizo wala si kosa
2.Kuimba nyimbo kutoka lugha moja kuipeleka lugha nyingine si kosa(iwapo kama hautumii biti ileile)
3.Nyimbo kufanana baadhi ya maneno si kosa ila yasizidi %80 ya nyimbo yako
4.Lakini pia kuiiga kwa kila kitu si kosa KAMA TU UNAIIGA KWA KUITUMIA JUKWAANI TU NA SI KUIFANYIA AUDIO AU VIDEO NA KUIPELEKA KTK MEDIA ( kama wanavyofanya bongo star search)

Sasa kwa sababu hizo hapo juu nyimbo ya DIAMOND haijavunja sheria yoyote si kwamba tu haijafanana na hiyo nyimbo anayoilazimishia kuwa zimefanan lakini pia hata mashairi ya ndani ni tofauti kama yeye mwenyewe alivyoleta hayo mashairi ya huyo anayesema ameyachukua kutoka kwake zaidi ya kukaribiana kwa jina la wimbo na ni jambo ambalo si kosa ki sheria.

HITIMISHO.
Hii nyimbo ni nzuri sana ndio maana imevunja rekodi ya kutazamwa kule youtube na ndio maana imedhaminiwa kwa pesa ndefu sana.
 
Waambie,
Na remix yake Mr. 2 - SUGU akahusika vilivyo

Tena huyo mike t unayemtetea ndo alitafsiri mashairi ya GINUWINE - SAME OG ..ktk wimbo wake SINTOBADILIKA.
 
Ni vigumu kusema nilisikia wapi lkn bila shaka hizo idea ni repeatition tu hamna jipya hapo

Mvua na Jua, Maisha ya Boarding zote za Jay Mo.
Ushawahi kuzsikiaga wapi hizi japo kwa lugha ingine??

Tatizo la mtoa mada nahis akurupuka tu chooni bila kuchamba,yaan anataka kama tilte ya nyimbo ni maisha ya boarding basi iwepo title nyingine labda iitwe boarding life...Sasa kwa taarifa yako nyimbo ya maisha ya boarding maudhui ni sawasawa na nyimbo ya Akon ya Gheto....na iyo mvua na jua yaan ndo alicopy na kupaste kwa Tenfold Loadstar na nyimbo yake inaitwa sun and rain....kama huamini kaigoogle iyo nyimbo ndo utaelewa...maana watoto waliozaliwa juzi kama mtoa mada mnamjua Alikiba tu na mibongo fleva yenu.
 
Hahahahaha mkuu umetisha kwa kweli.... Me sikuwa na jibu direct lakini nilijua tu lazima hizo nyimbo zipo tu maaana hamna jambo jipya, umetisha mkuu
 
Mkuu Shark,

Kwenye muziki au filamu hakuna kitu kinachoitwa kukopi idea na wala hatimiliki ya idea haipo kwenye hizi tasnia mbili kwa sababu ya wazi kabisa. Tuchukulie wimbo wa Diamond, UTANIPENDA... concept mzima ya huu wimbo ni maisha yetu ya kila siku kwenye suala zima la mahusiano! Huwa tunawauliza wapenzi wetu directly au indirectly the same question! Concept ya wimbo UTANIPENDA sio UNIQUE idea hata kidogo ambayo mtu yeyote duniani anaweza ku-claim kwamba idea ni yake ni sawa sawa na mtu aandike wimbo NITAKUPENDA DAIMA... haya ni maneno ambayo tunawaambia wenza wetu kila siku kwahiyo haiwezekani kusema ni idea ya Marehemu Whitney Houston na wimbo wake I'll Always Love You!!

Zipo ideas ambazo ni VERY UNIQUE ambazo, ingawaje nazo pia haziwezi kuwa na hatimiliki, lakini ni ngumu sana mtu kuzitumia halafu ukakataa kwamba hujakopi coz' they don't exist ktk maisha yetu ya kila siku. Mfano mzuri ni filamu ya INVENTION OF LIES! Filamu inayozungumzia ni namna gani back then hakukua na kitu kinachoitwa uongo kiasi kwamba, chochote unachosema watu wanakuamini! Ukienda kwa Magufuri hivi sasa ukamwambia wananchi wamepiga kura ya maoni sasa hivi na wanataka madaraka ya urais umwachie Lowassa; Magufuri anaamini! Anyway, hii filamu ni kama ilitaka kuonesha kwamba hata mambo ya Mungu nayo ni one of the invented lies!!!

Idea nyingine ni series ya REVOLUTION.Sasa idea kama hizi, hata kama haziwezi kuwa copyrighted, bado ni ngumu sana mtu mwingine kuzungumzia same stories coz' ni very unique na concepts zake hazipo kwenye maisha yetu ya kila siku!
 
Last edited by a moderator:
Lakini sio kwamba hao watu wanafanyia remix na inajulikana kabisa ni remix??
Hata Ray Jay alirudia wimbo wa YOU & ME IN PARADISE na kila mtu anajua, na hata yeye Ray Jay ukimuuliza atakubali kua ni wimbo wa mwengine ameurudia,

JE DIAMOND ANAWEZA KUKUBALI KUA KACHUKUA WIMBO WA MWENGINE??
Mkuu Shark naona unachanganya mambo! Kwenye utunzi kuna two concepts ambazo zinafahamika kama CONTEXT & CONTENTS! Chukulia glass yenye maji... glass kama glass ni context wakati maji ni content iliyopo kwenye glass husika!

Idea ya Utanipenda ni context... same context itaendelea kutumika duniani again and again hadi mwisho wa dunia. Ndani ya Utanipenda kuna mashairi ambayo ni content. Content inakuwa copyrighted na ikiwa utatumia content ya mtu mwingine lazima unatakiwa kukubaliana na muhusika! Hata hivyo, matumizi ya 2 to 3 lines yanakubalika kutumia bila kupata permission!!

Tukirudi kwenye suala la Ray Jay, hiyo ni different story kabisa! Ray Jay na dada ake hawakutumia idea ya Phil Collins bali walitumia content ya Phil Collins... yaani ni sawa na Lady Jay Dee na Siwema au Christian Bella na Ukimuona ya Diamond.

Verse ya 1 & 2 ya Another Day In Paradise ya Ray Jay na Brandy inasema:

(Brandy🙂
She calls out to
The man on the street
"Sir, can you help me
It's cold and I've
Nowhere to sleep, Is there somewhere
You can tell me "
Yeah

He walks on
Doesn't look back
He pretends he can't hear her
Starts to whistle as
He crosses the street
Seems embarrassed
To be there

Likewise, verse ya 1 & 2 ya Another Day In Paradise ya Phil Collins zinasema:

She calls out to the man on the street
'Sir, can you help me?
It's cold and I've nowhere to sleep,
Is there somewhere you can tell me?'

He walks on, doesn't look back
He pretends he can't hear her
Starts to whistle as he crosses the street
Seems embarrassed to be there

Sasa hapo ukiangalia, wimbo wa Phil Collins na akina Ray Jay ni ule ule... same context; same content.
 
Last edited by a moderator:
Nimejitahidi kumsoma mleta mada, nimegundua yafuatayo;
1.Hajui sheria za copyright ya music inasemaje ili nyimbo ionekane imeigwa - kwa sababu ametuletea hiyo nyimbo anayosema imeibwa lakini ziko tofauti kabisa.
2.Chuki zidi ya anayemuongelea - kwa sababu anasema nyimbo ya kawaida tu wakati ni nyimbo iliyopata kudhaminiwa kwa pesa ndefu sana ambapo kwa TZ hii haijapata kutokea na ni nyimbo yenye viewerz wengi kwa muda mfupi kuliko nyimbo yoyote ya kibongo.
3.Anajifanya anajua kumbe hajui kitu - Katutolea mfano wa nyimbo ya J. mo vua na jua na akatuuliza je hii idea ishawahi kutoka duniani?? jibu hiyo nyimbo ilishawahi kutoka kabla ya j.mo na hata sister p alishawahi kui-dis hii nyimbo. Msanii wa majuu aliyoitoa alikuwa ni Tenfold Loadstar nyimbo inaitwa Sun & Rain.

Sasa hebu ngoja nikusaidie kitu kidogo tu.
Sheria ya kimataifa kuhusu haki za muziki zipo wazi kabisa kama ifuatavyo
1.Kufanana kwa jina la wimbo si tatizo wala si kosa
2.Kuimba nyimbo kutoka lugha moja kuipeleka lugha nyingine si kosa(iwapo kama hautumii biti ileile)
3.Nyimbo kufanana baadhi ya maneno si kosa ila yasizidi %80 ya nyimbo yako
4.Lakini pia kuiiga kwa kila kitu si kosa KAMA TU UNAIIGA KWA KUITUMIA JUKWAANI TU NA SI KUIFANYIA AUDIO AU VIDEO NA KUIPELEKA KTK MEDIA ( kama wanavyofanya bongo star search)

Sasa kwa sababu hizo hapo juu nyimbo ya DIAMOND haijavunja sheria yoyote si kwamba tu haijafanana na hiyo nyimbo anayoilazimishia kuwa zimefanan lakini pia hata mashairi ya ndani ni tofauti kama yeye mwenyewe alivyoleta hayo mashairi ya huyo anayesema ameyachukua kutoka kwake zaidi ya kukaribiana kwa jina la wimbo na ni jambo ambalo si kosa ki sheria.

HITIMISHO.
Hii nyimbo ni nzuri sana ndio maana imevunja rekodi ya kutazamwa kule youtube na ndio maana imedhaminiwa kwa pesa ndefu sana.

Asante mkuu kw kuweka mambo sawa...
 
Kuna zaidi ya nyimbo milioni moja duniani kote zinaitwa i love you au neno lingine lenye maana hiyo
Na zote zinaongelea mtu jinsi anavyompenda mwenzake
 
Nimejitahidi kumsoma mleta mada, nimegundua yafuatayo;
1.Hajui sheria za copyright ya music inasemaje ili nyimbo ionekane imeigwa - kwa sababu ametuletea hiyo nyimbo anayosema imeibwa lakini ziko tofauti kabisa.
2.Chuki zidi ya anayemuongelea - kwa sababu anasema nyimbo ya kawaida tu wakati ni nyimbo iliyopata kudhaminiwa kwa pesa ndefu sana ambapo kwa TZ hii haijapata kutokea na ni nyimbo yenye viewerz wengi kwa muda mfupi kuliko nyimbo yoyote ya kibongo.
3.Anajifanya anajua kumbe hajui kitu - Katutolea mfano wa nyimbo ya J. mo vua na jua na akatuuliza je hii idea ishawahi kutoka duniani?? jibu hiyo nyimbo ilishawahi kutoka kabla ya j.mo na hata sister p alishawahi kui-dis hii nyimbo. Msanii wa majuu aliyoitoa alikuwa ni Tenfold Loadstar nyimbo inaitwa Sun & Rain.

Sasa hebu ngoja nikusaidie kitu kidogo tu.
Sheria ya kimataifa kuhusu haki za muziki zipo wazi kabisa kama ifuatavyo
1.Kufanana kwa jina la wimbo si tatizo wala si kosa
2.Kuimba nyimbo kutoka lugha moja kuipeleka lugha nyingine si kosa(iwapo kama hautumii biti ileile)
3.Nyimbo kufanana baadhi ya maneno si kosa ila yasizidi %80 ya nyimbo yako
4.Lakini pia kuiiga kwa kila kitu si kosa KAMA TU UNAIIGA KWA KUITUMIA JUKWAANI TU NA SI KUIFANYIA AUDIO AU VIDEO NA KUIPELEKA KTK MEDIA ( kama wanavyofanya bongo star search)

Sasa kwa sababu hizo hapo juu nyimbo ya DIAMOND haijavunja sheria yoyote si kwamba tu haijafanana na hiyo nyimbo anayoilazimishia kuwa zimefanan lakini pia hata mashairi ya ndani ni tofauti kama yeye mwenyewe alivyoleta hayo mashairi ya huyo anayesema ameyachukua kutoka kwake zaidi ya kukaribiana kwa jina la wimbo na ni jambo ambalo si kosa ki sheria.

HITIMISHO.
Hii nyimbo ni nzuri sana ndio maana imevunja rekodi ya kutazamwa kule youtube na ndio maana imedhaminiwa kwa pesa ndefu sana.
Mimi nazungumzia kukopi (kuiga) idea, sijazungumzia kuiba mashairi, jaribu kutofautisha then jaribu kunielewa Mkuu wangu
 
Back
Top Bottom