52% kupiga kura ya NDIYO katiba pendekezwa na 48% HAPANA.

Tafakari taswira inayojengwa hapa. Ni kama 80% ya watanzania hawajaisoma na kuielewa katiba pendekezwa mimi Mwenyewe sijaipata nilienda kwa Mtendaji wa kijiji kuomba copy akaniambia zilikuja chache zimeisha, Namuunga mkoja Jaji mstaafu BOMAN ya kuahirisha kura ya maoni ili tupate muda wa kuisoma katiba inayopendekezwa.
Acha kujitetea kwa hoja zisizona maan, kura ya maoni iko palepale, kama huna katiba hii hapa chini download uisome na uilewe...
View attachment 239840
 
thread ya kipuuz, headn ndio upuuz mtupu.
 
Mr.Ikimbu naomba usitutengenezee bomu hapa!na wala usiwaaminishe watanzania kwa kile unachokiamini wewe,kama unaamini hivyo sawa,ila utambue kuna wengine watakuja watakuambia asilimia 90 watapiga kura za NDIYO kitakachofuata ni mabishano na malumbano, pia ni ushauri wa bure wewe sio taasisi ya utafiti kwa hiyo takwimu unazotoa ni uongo kumbuka kuna sheria ya Takwimu usije ukajikuta matatani.
 
thread ya kipuuz, headn ndio upuuz mtupu.

Hutakiwi kutukana au kuvhangia kitu usichokielewa!! Suala la msingi hapa ni uelewa ili ufanye maamuzi sahihi,watanzania wa sasa wanaelewa na wanafuatilia mambo muhimu ya nchi yao na wako tayari kupiga kura ili kulinda maendeleo yaliyofikiwa.
 
hivyo ndo mlivyoseti mitambo ya BVR???? au ndio wale waliopewa nakala wakasoma?? asilimia 95% ya wapiga kura hawajawahi iona hilo katiba pendekezwa!
 
Acha kujitetea kwa hoja zisizona maan, kura ya maoni iko palepale, kama huna katiba hii hapa chini download uisome na uilewe...
View attachment 239840

Nchi ya Kenya waligawa katiba pendekezwa kwa wapiga kura miezi sita kabla ya kupiga kura na kila mpiga kura alikuwa nayo! Unataka kuniambia yule bibi yako wa kule kijijini ataingia hapa JF kuisoma! Hivi vikuwadi uchwara ni tatizo kwelikweli!
 
hivyo ndo mlivyoseti mitambo ya BVR???? au ndio wale waliopewa nakala wakasoma?? asilimia 95% ya wapiga kura hawajawahi iona hilo katiba pendekezwa!

Chungu acha uongo with this fact n statistics netx time u will be jailed.......au hesabu hujui.....hujui the 95% ya watanzania.....am among 95% na nimepata hiyo katiba na kuisoma sasa ww sikuelewi
 
hivyo ndo mlivyoseti mitambo ya bvr???? Au ndio wale waliopewa nakala wakasoma?? Asilimia 95% ya wapiga kura hawajawahi iona hilo katiba pendekezwa!

kwanza ni mburula gani anaeitaka hiyo kitabu ya fisadi chenge?
 
Nchi ya Kenya waligawa katiba pendekezwa kwa wapiga kura miezi sita kabla ya kupiga kura na kila mpiga kura alikuwa nayo! Unataka kuniambia yule bibi yako wa kule kijijini ataingia hapa JF kuisoma! Hivi vikuwadi uchwara ni tatizo kwelikweli!

wachumia tumbo hawatakuelewa hata uwaambiaje..
 
Bibi wa kijijini anakuhusu nini unaota asubuhi wewe usijifiche kwenye kichuguu, katiba ya mwaka 1977 hujaisoma na huielewi na hii pia huielewi ila humu Jf una michango kibao afu yote vumbi ua not serious!
 
Katumwa huyo sio bure kaka. Huwa hanaga points zaidi ya matuc
 
Back
Top Bottom