Huwezi amino nimepipenda wazo lako na tayri nimeanza nimeshaweka akiba sh.15000 ktk m pawa yangu naimani ntaweza...Basi hivi ndio nimeamua kuanza mwaka!
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Nimepata hili wazo la kuweka akiba kila wiki kutoka kwa mmoja warafiki zangu anayeishi Kenya. nikajaribu kulifikiria mara mbili mbili huku swali kubwa ikiwa nitawezaje kufikia lengo hili?
Mwisho nikakumbuka ni afadhali anayejaribu na kushindwa kuliko anayekaa kulalamika na kusema siwezi hiki, siwezi kile.
"TUNAWEKAJE AKIBA"
Tulianza jumapili ya kwanza mwaka huu na tulianza na kiasi cha shilingi 1000 na kila wiki tunaongeza 1000 ingine juu ya ile tulioweka wiki iliyopita.
Mfano wiki ya kwanza tuliweka 1000 wiki ya pili tunaweka 2000 wiki ya tatu tutaweka 3000 wiki ya nne tutaweka 4000 hivi ndivyo inavyoenda hadi kufika wiki ya 52 tutakua tumeweka kiasi cha 1,378,000 kwa kila mmoja.
hadi kufikia sasa nimeweza kushawishi baadi ya rafiki zangu 9 ambao tupo nao pamoja tunaendelea na huu mchezo kumbuka leo ni wiki ya 4 hivyo leo tunapaswa kuweka 4000 kwenye akaunti zetu za akiba ikiwa tutafanikiwa kufika mwisho tukiwa pamoja hivi tukichanganya hela hizi (kwa atayependa) tutakua na kiasi cha 12,402,000 ambayo tunaweza kukubaliana kufanya kama mtaji wa biashara yeyote ambayo tutaona inalipa kwa kipindi hicho.
Kila mmoja anatunza hela yake peke yake ili kuepusha kutoaminiana,
Tumeonelea ni rahisi kuweka akiba M-PAWA ya voda kwani hakuna makato yeyote kwa kuweka au kutoa hela. Ukishaweka akiba yako unatuma ile sms ya uthibitisho kwamba tayari umeweka akiba katika kundi tulilolianzisha Whatsapp ili iwe changamoto kwa wale ambao bado hawajaweka waweze kuweka mara moja.
Unaweza kuona mfano wa fomu tunazotumia kutiki kila wiki tukiweka akiba katika picha.
Kama umevutiwa na Idea hii ama una swali lolote unaweza kuniuliza nikakusaidia.
Ahsanteni na karibuni sana.
52 WEEK SAVING CHALLENGE.
--------------------------------------------------------------------------
Naomba Share na wengine pia
View attachment 462515
Good ideal nafikiri kuanzisha na Wadau walio karibu nafanya ushawishikweli Kaka na karibu sana
Hizo sh 1,027,000,000ml umezipate wakati nikihesabu mm wiki 52 ukiweka 1000 kwa wiki unapata sh 52,000 wewe umefanyaje kupata formula hiyo sijaelewa kabisa nicalculetie nijue mmnafanyaje kupata hela hizo hapo juu kwa jedwali bado sijaelewaKaribu sana Mkuu ujiunge nasisi tuweze kuwa wengi ndio tuhamasishane vizuri.
nataka kujiunga na nyie lakini sijaelewa mnafanyaje kwa wiki unasema mnaweka 1000 na kwamwezi inakuwa 4000 sasa kwa wiki 52 si utapata 52,000 na pale kwenye jedwali umeweka kwa wiki 52 ni sh 1,027,000,000 sijaelewa nieleweshe mmefanyajeKaribu sana Mkuu ujiunge nasisi tuweze kuwa wengi ndio tuhamasishane vizuri.
Me nimeelewa nusu sijaelewa nusu.nataka kujiunga na nyie lakini sijaelewa mnafanyaje kwa wiki unasema mnaweka 1000 na kwamwezi inakuwa 4000 sasa kwa wiki 52 si utapata 52,000 na pale kwenye jedwali umeweka kwa wiki 52 ni sh 1,027,000,000 sijaelewa nieleweshe mmefanyaje
hizo
hizo sh 1,027,000,000ml umezipate wakati nikihesabu mm wiki 52 ukiweka 1000 kwa wiki unapata sh 52,000 wewe umefanyaje kupata formula hiyo sijaelewa kabisa nicalculetie nijue mmnafanyaje kupata hela hizo hapo juu kwa jedwali bado sijaelewa
Kila week kasema unaweka sh 1000, so wiki ya kwanza unaanza na 1000 then kila inayokuja inaongezeka elfu 1000 had wiki ya mwisho 52hizo
hizo sh 1,027,000,000ml umezipate wakati nikihesabu mm wiki 52 ukiweka 1000 kwa wiki unapata sh 52,000 wewe umefanyaje kupata formula hiyo sijaelewa kabisa nicalculetie nijue mmnafanyaje kupata hela hizo hapo juu kwa jedwali bado sijaelewa
Ntumie na mm mkuuNipe email address nikutumie.
I think you got him wrong."Savers are losers"--Robert Kiyosaki
Sorry for late replay.nataka kujiunga na nyie lakini sijaelewa mnafanyaje kwa wiki unasema mnaweka 1000 na kwamwezi inakuwa 4000 sasa kwa wiki 52 si utapata 52,000 na pale kwenye jedwali umeweka kwa wiki 52 ni sh 1,027,000,000 sijaelewa nieleweshe mmefanyaje
ThanksDah big up mkuu . Wazo zur sana hili, ubarikiwe.
AmenDah big up mkuu . Wazo zur sana hili, ubarikiwe.
Ntumie na mm mkuu