52 week saving challenge imeanza tayari

Very well, ni idea kubwa nzuri na ya kijasiri nafikiri watu tulio na akili ya iwekezaji inaonesha katika group hampeani changamoto tu za kusave Bali hadi UJASIRIAMALI na Aina za biashara. Niunge na mimi 0762208190
 
Tengeneza kipato cha Ziada Kwa kupata kitabu maalumu kitakacho kufanya ujue kutengeneza bidhaa mbali mbali muhimu za viwamdani nyumbani kwako na uweze kujiajiri. Kitabu hicho utakipata Kwa bei ya TSh.5,000 tu! Katika email au whatsup yako. Nipigie au whatsup 0762208190 AU 0718978295. Utachagua unacho taka kujiajiri kitaalam kupitia kitabu hicho.
 
dah huu mchez nilisema nacheza nikaja kupoteza hii post leo ndo nimeipata naanza sasa rasm
 
Wakuu naomba money saving kwa mtu wa kipato kidogo hasa mwanafunzi wa chuo maana idea nzuri hii
 
80/month ×12 months = 4,160,000???????? how mkuu tueleweshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…