Ninakumbuka miaka ya nyuma sana, mwalimu Julius Nyerere alisema Kenya ni " man eat man society ", akimaanisha kwamba wakenya wanaishi kama Wanyama wa porini, kila anayepata nafasi anajichukulia kadri awezavyo kwa ajili yake na familia yake, hakuna anayemjali mtu mwengine.
Nchi ambayo inatumia zaidi ya nusu ya makusanyo yake ya mwezi, kwa ajili ya kulipa mishahara kwa watumishi ambao ni 1.5% ya wananchi wote, hii maana yake 48% ndio inabaki kwa ajili ya kuhudumia watu 45M.
Kwamba haya ndio matunda ya katiba mpya, kutengeneza vyeo vingi huko ktk " county level ili "wage bill iwe kubwa". Sasa katika hali hii mtaweza vipi kujenga miradi mikubwa kwa pesa yenu?, vipi mtaweza kuendesha nchi bila kukopa kwa wachina?.
1.0. Libya ni moja kati ya nchi wafadhili wa Tanzania ambapo, kama ilivyo wafadhili wengineimekuwa ikiipa nchi yetu misaada na mikopo yenye masharti nafuu. Serikali yetu imekuwa ikifanya taratibu mbalimbali kulipa madeni ya nchi wafadhili kwa njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na utaratibu...
www.jamiiforums.com
1.0. Libya ni moja kati ya nchi wafadhili wa Tanzania ambapo, kama ilivyo wafadhili wengineimekuwa ikiipa nchi yetu misaada na mikopo yenye masharti nafuu. Serikali yetu imekuwa ikifanya taratibu mbalimbali kulipa madeni ya nchi wafadhili kwa njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na utaratibu wa kubadili madeni na kuyaingiza katika miradi n.k, yaani ‘Dept Swap'.
2.0. Katika utaratibu huo wa ‘Dept Swap', tarehe 20/7/2005, Serikali ya Tanzania na Libya zilitia sahihi mkataba wa Dept Swap (Dept Swap Agreement) ambao uliweka utaratibu wa matumizi na urejeshaji wa fedha za deni la Libya.
3.0. Tarehe 4/3/2009, Serikali ya Libya na Tanzania zilitia sahihi mkataba wa nyongeza (Addendum to the Dept Swap Agreement) ambao ulizungumzia, pamoja na mambo mengine, matumizi ya jumla ya dola za Kimarekani milioni 20 (20,000,000) ambazo zilikuwa zimehifadhiwa katika akaunti ya Libya No.004-200-0002216-01, Benki ya Rasilimali Tanzania (Tanzania Investment Bank).
4.0. Nyongeza hii ya mkataba ilitamka bayana katika kifungu No.4.02, kwamba, fedha zilizokuwa katika akaunti tajwa, zikopeshwe kwa mwekezaji waliyemteua wao wenyewe, ambaye ni kampuni ya MEIS INDUSTRIES LIMITED kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa kiwanda cha Saruji Lindi. Kwa mujibu wa nyongeza hii, mkopo ulipaswa kulipwa ndani ya miaka sita, na baada ya hapo, fedha hizo zirejeshwe na ziendelee kukopeshwa Watanzania kwa ajili ya miradi mingine ambayo Serikali za Libya na Tanzania zitakuwa zimeridhia.
5.0. Kumbukumbu zinaonyesha mambo mawili:-
5.1 Kwamba, kabla ya Serikali ya Libya kutia sahihi nyongeza hii ya mkataba iliyotaka fedha zikopeshwe kwa MEIS INDUSTRIES, upembuzi yakinifu wa mradi husika ulifanywa na serikali ya Libya kupitia vyombo vyake, na wao wenyewe walishajiridhisha juu ya ubora wa mradi huo (Viability of the Project)
5.2 Kwamba, baada ya kutia sahihi nyongeza ya mkataba, Serikali ya Libya kupitia Ubalozi wake hapa nchini iliendelea kusisitiza kwa maandishi kwamba Serikali ya Tanzania iharakishe mchakato wa kuwezesha fedha hizo zikopeshwe kwa mwekezaji waliyemteua ili mradi huo muhimu usiendelee kuchelewa, na pia fedha ziingie katika mzunguko kwa manufaa ya Watanzania.
6.0. Katika kutekeleza mikataba hii miiwli, yaani Dept Swap Agreement ya tarehe 20/7/2005 na Addendum Dept Swap Agreement ya Tarehe 4/3/2009, na kwa kuzingatia umuhimu ambao serikali ya Libya iliuonyesha, Serikali ya Tanzania kupitia watalaamu wake wa Wizara ya Fedha, Benki ya Rasilimali (TIB) na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu, na Mwekezaji (Kampuni ya MEIS), walikutana chini ya usimamizi wa Wizara ya Fedha na kuandaa hadidu za rejea ambazo zilipelekea kutengenezwa kwa mkataba wa uwekezaji (Investment Agreement) kati ya serikali ya Tanzania, TIB, Serikali ya Libya na Mwekezaji.
7.0. Serikali ya Tanzania, TIB na Mwekezaji walitia sahihi mkataba huu na kuupeleka Libya ili serikali ya Libya ipate kuweka sahihi. Kwa sababu ambazo hazikufahamika, serikali ya Libya haikutia sahihi mkataba huo.
8.0. Baada ya kufuatilia kwa muda mrefu bila mafanikio, mwekezaji alimuandikia barua Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Tanzania yenye kumbukumbu No. PC/MEIS/AG/2/10 ya tarehe 1/9/2010 akieleza kusudio la kuipeleka Serikali ya Libya Mahakamani kwa kitendo chake cha kutokutia sahihi mkataba.
9.0. Terehe 13/9/2010, Mwekezaji alifungua shauri Mahakama Kuu ya Tanzania, shauri la madai No. 124/2010 dhidi ya serikali ya Libya, akiiomba Mahakama Kuu itoe tamko kwamba kitendo cha serikali ya Libya kukataa kutia sahihi mkataba huu hakikuwa kitendo cha haki na kwamba mahakama itoe amri kwamba fedha hizo zitolewe kwa Mwekezaji ili kutekeleza mradi uliokusudiwa.
Kumbukumbu zinaonyesha kwamba wito wa Mahakama (Summons) ulipelekwa Ubalozi wa Libya lakini hapakuwa na majibu wala mwakilishi aliyekuja mahakamani.
10.0. Mahakama Kuu, kwa kufuata taratibu zake, iliendelea na kusikiliza shauri na kutoa amri kama ambavyo mahakama yenyewe ilijiridhisha. Amri ya mahakama, pamoja na mambo mengine, iliagiza kwamba fedha hizo zitolewe kwa mwekezaji ili kutekeleza mradi husika.
11.0. Zilifanyika juhudi za Benki ya Rasilimali (TIB) pamoja na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kupinga au kupata ufafanuzi zaidi juu ya amri hiyo ya utekelezaji wake. Mahakama Kuu pamoja na Mahakama ya Rufana, katika nyakati tofauti, zilishughulikia maombi hayo na kuyafikisha katika hatima yake kwa mujibu wa sheria. Kwa ajili ya kumbukumbu, mashauri yaliyofunguliwa ni kama ifuatavyo:-

Hao 45 million wengine ni wazazi wa hao 2% unaowatakia wapunguziwe mishahara na pia vile vile kuna watoto wao...
Alafu sasa umejikanganya...hapo juu umesema mtu akipata huaga anaangalia watu wake...sasa hao 2% kila mtu anaagalia familia yake....km vile wazazi mke na watoto.....
Kwenu mshahara kiduchu...baba,mama,shangazi,mjomba wote wanataka uwasaidie na pia wakutembelee dar...ndo manake mna idadi kubwa ya watu maskini katika ukanda huu..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hamna nchi ninyi, kila kitu kimewekwa na 'International standards " ninyi mpo kwenye "negative'"
1) Wage bill ninyi mpo 52% wakati standard ni 35%, ya revenue
2) Wage bill per GDP mpo 10% wakati International standard ni 5%
3) Debt to GDP ratio mpo 60% wakati Standard ni 40%.
4) Corruption mpo 85% wakati acceptable level ni below 20%
5) Unemployment mpo 48%
6) Below poverty line 42%
Tuliwashauri sana muingie barabarani muwaondoe UHURUTO wameshindwa kuongeza nchi, bado mnaendekeza ukabila

Hayo maelezo yote hayabadilishi km tanzania inaongoza kw maskini wengi ukanda huu hku ikiwa mna karibia kila kitu...madini,ardhi iko na rotuba...na bado mnasumbuliwa na umaskini hku uchumi ukiporomoka
Jambo la kusikitisha ni kwamba, hilo tatizo la wage bill kuchukua sehemu kubwa ya mapato ya nchi, ni tatitozo la kiuongozi, ambapo rais, Bunge na mahakama wakikaa pamoja, wanaweza kupata ufumbuzi, sasa Uhuru Kenyatta anawalilia wananchi ili wamsaidieje?, fake leaders, fake economy. Failed state kabisa.

Leo unalia sana, in kama umemaliziwa supu ya albino leo. Anyway back to topic, that failed state has a budget twice your budget ambayo 49% ni grants and donations, that failed state has a GDP twice your GDP, the same failed state is not listed in the group of LDCs. This failed state has a 70+% electricity connection to yours 32%, this failed state has a better infrastructure than your state and finally this failed state is raping you economically in every field, the only thing you remain with is "Kenya wameiba mliwa wetu" as if Kenya wanaezabeba milima wapeleke Kakamega.

Kuongezea kiasi...failed state literacy level ipo juu ya nchi ya maziwa,failed state iko na middle class kubwa kuwaliko,hyo hyo failed state uko na maskini wachache kuliko kw jiwe...
Leo unalia sana, in kama umemaliziwa supu ya albino leo. Anyway back to topic, that failed state has a budget twice your budget ambayo 49% ni grants and donations, that failed state has a GDP twice your GDP, the same failed state is not listed in the group of LDCs. This failed state has a 70+% electricity connection to yours 32%, this failed state has a better infrastructure than your state and finally this failed state is raping you economically in every field, the only thing you remain with is "Kenya wameiba mliwa wetu" as if Kenya wanaezabeba milima wapeleke Kakamega.
Wew hizo Gdp zinasaidia nn km turkana miaka nenda miaka rudi kuna njaa na hiyo Gdp kubwa how does it work km madaktari wanagoma.
Mwaishi kwa uchumi wa makaratasi ishini in reality
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.