Bak hawa wata finance tu hiyo projects mi naona hapa kuna matatizo mawili kwanza hawajatangaza tender na pili hata kama wameamua kuwapa ial hiyo projects ilitakiwa isizidi miaka 12 hadi 15
kwani kuna ubaya gani wakitangaza tender kwani kila kitu lazima tuwaige wakenya? na sisi tufikirie hata kidogo banaHii deal imekaa kifisadi fisadi kuna haja ya kuangaliwa kwa kina. Na hao Machina yanaweza kuamua kufungua kesi kupinga usitishwaji wa huo mkataba kama hili likitokea yatakuwa yale yale kama ya Richmond/Dowans ya kutakiwa kuwalipa machina fidia kubwa sana ya $$$ in millions.
[h=1]Impala[/h]
A global warehousing and logistics company, specialising in the transportation, processing and storage of metals and bulk commodities
Huyu Engineer anadai tofauti ya bei inatokana na "depth"!
Tofauti ya 14 mita ya Kenya na 16 mita ya Dar ni 14% lakini bei imeongezeka kwa asilimia 100!
Labda atueleze kwa nini tofauti ya mita mbili price imedouble?