BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
- Thread starter
- #21
Hii deal imekaa kifisadi fisadi kuna haja ya kuangaliwa kwa kina. Na hao Machina yanaweza kuamua kufungua kesi kupinga usitishwaji wa huo mkataba kama hili likitokea yatakuwa yale yale kama ya Richmond/Dowans ya kutakiwa kuwalipa machina fidia kubwa sana ya $$$ in millions.
Bak hawa wata finance tu hiyo projects mi naona hapa kuna matatizo mawili kwanza hawajatangaza tender na pili hata kama wameamua kuwapa ial hiyo projects ilitakiwa isizidi miaka 12 hadi 15