Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
- Thread starter
-
- #21
Wewe umeona Tetesi kama imetoka kwangu? mimi na leta tetesi ya mwana dada huyo mubashara ili mjue ukweli muache ujinga wa kumfurahisha kenyatta na uongo..Wewe ndio mtoa mada, lete stats uumbuliwe vilivyo. Ni juzi tuu tukiambiwa mwanafunzi yeyote wa kike anayepatikana na mimba huko bongo hana nafasi shuleni. Hapo vipi!?.
It's the owner of the thread to who is supposed to justify his thread by bracing it up with verified facts, got it!?Wewe unayebishana kama mwendawazimu ndiyo ulete fact. Pathetic.
He wasnβt comparing, he was just congratulating his president, JPM. Kama imekuuma kunywa sumu.Such a headless chicken on a fast forward trajectory. Why can't you ask the owner of the thread to why he compared the same to Tanzania in the fast place!?.
Congratulating his president on matters Kenya?. Are you high on some kind of opioids?ππ€£π€£He wasnβt comparing, he was just congratulating his president, JPM. Kama imekuuma kunywa sumu.
Mambo yamebalika sana jombaa. Zamani ilikuwa ni nukuu za mchumi David Ndii, siku hizi ni za mtingisha wowowo Selena Gomez. [emoji38]Wi
Without blinking or fear of contradiction. I can confidently tell you that there is no country in the whole of East Africa that can rival Kenya on strides made in ensuring that every kid is in school irrespective of gender.
Kenya - School Enrollment, Secondary, Male (% Net) - 2000-2012 Data | 2020 ForecastWewe umeona Tetesi kama imetoka kwangu? mimi na leta tetesi ya mwana dada huyo mubashara ili mjue ukweli muache ujinga wa kumfurahisha kenyatta na uongo..
Kama unapinga takwimu zake, leta za kwako nifute huu uzi kabisa
Who the hell are you wa kumpangia mtu akampongeze Rais wake wapi? Pathetic!Congratulating his president on matters Kenya?. Are you high on some kind of opioids?ππ€£π€£
By supporting another person's claim, is as good as owning them up. Bring the facts to validate the claims!.Wewe umeona Tetesi kama imetoka kwangu? mimi na leta tetesi ya mwana dada huyo mubashara ili mjue ukweli muache ujinga wa kumfurahisha kenyatta na uongo..
Kama unapinga takwimu zake, leta za kwako nifute huu uzi kabisa
Kama hangelitaja Kenya hungeniona hapa. Miserable souls!π€Έπ€ΈWho the hell are you wa kumpangia mtu akampongeze Rais wake wapi? Pathetic!
Schizophrenic hysterical Kunyan. Kama imekuuma vumilia.Kama hangelitaja Kenya hungeniona hapa. Miserable souls!π€Έπ€Έ
Watu wanafukuza wasichana shuleni kwa kigezo cha mimba za mapena na ndio wanajaribu kutapika upumba hapa!Mambo yamebalika sana jombaa. Zamani ilikuwa ni nukuu za mchumi David Ndii, siku hizi ni za mtingisha wowowo Selena Gomez. [emoji38]
The only English jargons in your dictionary seemingly!π€£ Hata sijaskia vibaya!..Schizophrenic hysterical Kunyan. Kama imekuuma vumilia.
umeshindwa kupika takwimu unaleta za walio shule..ππ
Kiingereza kwako ndiyo ujanja. Slavery mentality from Kunyan with mediocrity convoluted!T
The only English jargons in your dictionary seemingly!π€£ Hata sijaskia vibaya!..
Sasa wewe sijui hauelewi english ama ni akili hauna..ππView attachment 1379611
Sasa futa huu uzi kabisa
Usibadilishe mada, dhibitisheni madai yenyu hapa. Ukitaka ya kingereza tutaongea baadae, nawasubiri!..Kiingereza kwako ndiyo ujanja. Slavery mentality from Kunyan with mediocrity convoluted!
Sikujua, kumbe naongea na mgonjwa wa akili. Kwani aliyeleta habari za Kiingereza hapa ni nani kama siyo wewe?Usibadilishe mada, dhibitisheni madai yenyu hapa. Ukitaka ya kingereza tutaongea baadae, nawasubiri!..
T
The only English jargons in your dictionary seemingly!π€£ Hata sijaskia vibaya!..
Hawa jamaa wamechanganyikiwa, kila wakijaribu kupindisha mada hesabu zinakataa. Wanabaki kurukaruka kama maharage kwenye sufuria.Sasa wewe sijui hauelewi english ama ni akili hauna..ππ
Takwimu hizo ni kumaanisha(2018) 52% Girls wako nyumbani..Yaani nusu ya watoto wa kike hawana masomoπ’π’π’
Sasa huyo dada akisema 2020 ni 59% hayuko mbali sana na ukweli
Leta takwimu za 2020 uwache kubishana
Hiyo nadhani ni ratio ya enrollment kwa boys na girls mashuleni. Yaani 48% ni girls na 52% ni boys. Ila hii ya pili uliyoileta ina data zote kuhusu elimu hadi na ratio ya walimu kwa wanafunzi pia. Kama mleta mada angekuwa na akili timamu angeweza kuchambua hizi data aone % ya wasichana ambao wapo shuleni ukilininganisha na Gross Total ya wasichana wote. Ningependa kuona data kama hizi kutoka kwa majirani pia. Kenya - School Enrollment, Secondary, Male (% Net) - 2000-2012 Data | 2020 ForecastView attachment 1379611
Sasa futa huu uzi kabisa