Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
- Thread starter
- #21
Wewe umeona Tetesi kama imetoka kwangu? mimi na leta tetesi ya mwana dada huyo mubashara ili mjue ukweli muache ujinga wa kumfurahisha kenyatta na uongo..Wewe ndio mtoa mada, lete stats uumbuliwe vilivyo. Ni juzi tuu tukiambiwa mwanafunzi yeyote wa kike anayepatikana na mimba huko bongo hana nafasi shuleni. Hapo vipi!?.
Kama unapinga takwimu zake, leta za kwako nifute huu uzi kabisa