Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Dada mwanamuziki wa marekani Selena Gomez ametoa tetesi ya dhati kwamba Rais Kenyatta awache watoto wa kike waende shule.
Aibu sana middle income kuwa asilimia 59% ya watoto wa kike hawana masomo😢😢
Hongera Tanzania, Rais Magufuli Kwa hili la masomo amejikakamua vilivyo, mabeberu wamebakia kutafutilia hoja za "pregnant Girls" na ukweli ni kwamba bado wanapewa masomo mbadala
=======
UPDATE: American singer @selenagomez reminds President Uhuru Kenyatta of his promise to increase spending on education.
Video: @GlblCtzn NTV Kenya on Twitter