5G coverage ipo Tanzania au ni mchongo? Ulipo inakamata?

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Ni ajabu sana nina simu ya 5G na laini zote Tigo na Voda nazotumia mtandao unaishia LTE tu na simu ina hadi 5G!!

Na laini zote ni za current, kimara,mbezi nyumbani kwangu Goba inaniambia eneo ulipo hamna 5G[emoji28]

Hata nikiwa kwa Kimara na mbezi inakua hivyo hivyo??

Hivi ni mimi peke yangu au?
 
Kwa bongo naona ni mchongo Mimi mwezi wa Nne nlikuwa DSM ila 5G haipandi wala nini ukiwafata ofisini maneno mengi yasiyoeleweka

Nilijua ni mimi mwenyewe tu
 
Airtel 5G unlimited internet hilo box lake taa ya 5G haijawahi kuwaka. So muda wote ninatumia 4G kwa malipo ya 5G! Tanzania udanganyifu mwingi sana na tuna safari ndefu sababu hadi viongozi hawajali kabisa.
 
Nilijua ni mimi mwenyewe tu
IMG_3377.png

Ni nyinyi. Au huenda simu zenu hazina bands zinazotumika na mitandao ya Tanzania; Vodacom na Airtel 5G yao imetapakaa maeneo mengi hapa Dar. Tigo 5G tu ndio sishiki kwenye eneo langu
 
Ni ajabu sana nina simu ya 5G na laini zote Tigo na Voda nazotumia mtandao unaishia LTE tu na simu ina hadi 5G!!

Na laini zote ni za current, kimara,mbezi nyumbani kwangu Goba inaniambia eneo ulipo hamna 5G[emoji28]

Hata nikiwa kwa Kimara na mbezi inakua hivyo hivyo??

Hivi ni mimi peke yangu au?

Unatumia simu gani?

Si simu zote zilizo na band za 5G zipo eligible kupata freq za 5G...

Mfano Airtel walipozindua 5G, ilikuwa baadhi ya simu kama matoleo 4 au 5 tu, lakini baadaye waliendelea kuongeza uwezo wa simu nyingine...

Kitu kingine, si minara yote imekuwa modernized na kuwekewa baseband unit za 5G...
 
Ni ajabu sana nina simu ya 5G na laini zote Tigo na Voda nazotumia mtandao unaishia LTE tu na simu ina hadi 5G!!

Na laini zote ni za current, kimara,mbezi nyumbani kwangu Goba inaniambia eneo ulipo hamna 5G[emoji28]

Hata nikiwa kwa Kimara na mbezi inakua hivyo hivyo??

Hivi ni mimi peke yangu au?
Simu kuwa na 5G haimaanishi utapata 5G, inatakiwa iwe na frequency za mitandao husika, simu iliotengenezwa kutumika soko la Marekani ama Japan haitakua na frequency za Tanzania most of time,

Kwa Tanzania mitandao mingi 5G wanatumia 3500mhz, je simu yako inayo hio band.
 
Mambo Magumu Sana, Wanaonunua Simu Za 5G Wazingatie Nini Ili Wapate Hiyo Huduma Hapa Tanzania
 
Airtel 5G unlimited internet hilo box lake taa ya 5G haijawahi kuwaka. So muda wote ninatumia 4G kwa malipo ya 5G! Tanzania udanganyifu mwingi sana na tuna safari ndefu sababu hadi viongozi hawajali kabisa.
Haa Lile Box Mwisho 4G Hakuna Namna
Unajiuliza TCRA Hawaoni Wananchi Wakipigwa Tu
 
Airtel 5G unlimited internet hilo box lake taa ya 5G haijawahi kuwaka. So muda wote ninatumia 4G kwa malipo ya 5G! Tanzania udanganyifu mwingi sana na tuna safari ndefu sababu hadi viongozi hawajali kabisa.
Aiseee[emoji23]
 
Ninakuwa sana maeneo uliyotaja, ninapata 5g vizuri kwa airtel, tigo na vodacom.

Natumia samsung yenye 5g na hapa sasa hivi nipo mbezi mwisho

Screenshot_20240623_031526_Edge.jpg
 
Simu kuwa na 5G haimaanishi utapata 5G, inatakiwa iwe na frequency za mitandao husika, simu iliotengenezwa kutumika soko la Marekani ama Japan haitakua na frequency za Tanzania most of time,

Kwa Tanzania mitandao mingi 5G wanatumia 3500mhz, je simu yako inayo hio band.
Ndio mkuu inasupport hadi hyo band ya 3500 (5G-TDD 3500 mhz (n78)
 
Mi napata 5g kwenye device ya voda, ya airtel mara chache...
Ila airtel ya uongo sana, speed inasoma kubwa ila kuna sites kufungua ni mtihani!
 
Simu kuwa na 5G haimaanishi utapata 5G, inatakiwa iwe na frequency za mitandao husika, simu iliotengenezwa kutumika soko la Marekani ama Japan haitakua na frequency za Tanzania most of time,

Kwa Tanzania mitandao mingi 5G wanatumia 3500mhz, je simu yako inayo hio band.
Chief-Mkwawa kuangalia band ya simu nafanyaje mkuu
 
Mzee oppo reno 7 5g chinese version inayo hii kitu au manake kila nikiwa mjini sioni 5g
Simu kuwa na 5G haimaanishi utapata 5G, inatakiwa iwe na frequency za mitandao husika, simu iliotengenezwa kutumika soko la Marekani ama Japan haitakua na frequency za Tanzania most of time,

Kwa Tanzania mitandao mingi 5G wanatumia 3500mhz, je simu yako inayo hio band.
 
Mzee oppo reno 7 5g chinese version inayo hii kitu au manake kila nikiwa mjini sioni 5g
Kwenye hardware ipo mkuu, ukiwa mjini kama ni voda menu yao ya internet kuna sehemu ya kucheki kama simu yako ina lnasuport 5G yao.
 
Back
Top Bottom