Ni ajabu sana nina simu ya 5G na laini zote Tigo na Voda nazotumia mtandao unaishia LTE tu na simu ina hadi 5G!!
Na laini zote ni za current, kimara,mbezi nyumbani kwangu Goba inaniambia eneo ulipo hamna 5G[emoji28]
Hata nikiwa kwa Kimara na mbezi inakua hivyo hivyo??
Hivi ni mimi peke yangu au?
Airtel 5G unlimited internet hilo box lake taa ya 5G haijawahi kuwaka. So muda wote ninatumia 4G kwa malipo ya 5G! Tanzania udanganyifu mwingi sana na tuna safari ndefu sababu hadi viongozi hawajali kabisa.Ni ajabu sana nina simu ya 5G na laini zote Tigo na Voda nazotumia mtandao unaishia LTE tu na simu ina hadi 5G!!
Na laini zote ni za current, kimara,mbezi nyumbani kwangu Goba inaniambia eneo ulipo hamna 5G[emoji28]
Hata nikiwa kwa Kimara na mbezi inakua hivyo hivyo??
Hivi ni mimi peke yangu au?
Nilijua ni mimi mwenyewe tu
Ni ajabu sana nina simu ya 5G na laini zote Tigo na Voda nazotumia mtandao unaishia LTE tu na simu ina hadi 5G!!
Na laini zote ni za current, kimara,mbezi nyumbani kwangu Goba inaniambia eneo ulipo hamna 5G[emoji28]
Hata nikiwa kwa Kimara na mbezi inakua hivyo hivyo??
Hivi ni mimi peke yangu au?
Simu kuwa na 5G haimaanishi utapata 5G, inatakiwa iwe na frequency za mitandao husika, simu iliotengenezwa kutumika soko la Marekani ama Japan haitakua na frequency za Tanzania most of time,Ni ajabu sana nina simu ya 5G na laini zote Tigo na Voda nazotumia mtandao unaishia LTE tu na simu ina hadi 5G!!
Na laini zote ni za current, kimara,mbezi nyumbani kwangu Goba inaniambia eneo ulipo hamna 5G[emoji28]
Hata nikiwa kwa Kimara na mbezi inakua hivyo hivyo??
Hivi ni mimi peke yangu au?
Haa Lile Box Mwisho 4G Hakuna NamnaAirtel 5G unlimited internet hilo box lake taa ya 5G haijawahi kuwaka. So muda wote ninatumia 4G kwa malipo ya 5G! Tanzania udanganyifu mwingi sana na tuna safari ndefu sababu hadi viongozi hawajali kabisa.
Ndio mkuu inasupport hadi hyo band ya 3500 (5G-TDD 3500 mhz (n78)Simu kuwa na 5G haimaanishi utapata 5G, inatakiwa iwe na frequency za mitandao husika, simu iliotengenezwa kutumika soko la Marekani ama Japan haitakua na frequency za Tanzania most of time,
Kwa Tanzania mitandao mingi 5G wanatumia 3500mhz, je simu yako inayo hio band.
Chief-Mkwawa kuangalia band ya simu nafanyaje mkuuSimu kuwa na 5G haimaanishi utapata 5G, inatakiwa iwe na frequency za mitandao husika, simu iliotengenezwa kutumika soko la Marekani ama Japan haitakua na frequency za Tanzania most of time,
Kwa Tanzania mitandao mingi 5G wanatumia 3500mhz, je simu yako inayo hio band.
Njia rahisi google simu yako Gsmarena utaona wame list band za simu husika.Chief-Mkwawa kuangalia band ya simu nafanyaje mkuu
Pixel 4a 5g yangu ina 5G band ya 1, 2, 3, 5, 7, 8, 12, 28, 41, 66, 71, 77, 78Njia rahisi google simu yako Gsmarena utaona wame list band za simu husika.
78 ndio 3500mhz jina jengine.Pixel 4a 5g yangu ina 5G band ya 1, 2, 3, 5, 7, 8, 12, 28, 41, 66, 71, 77, 78
Ndo inakuwaje hapo?
Simu kuwa na 5G haimaanishi utapata 5G, inatakiwa iwe na frequency za mitandao husika, simu iliotengenezwa kutumika soko la Marekani ama Japan haitakua na frequency za Tanzania most of time,
Kwa Tanzania mitandao mingi 5G wanatumia 3500mhz, je simu yako inayo hio band.
Kwenye hardware ipo mkuu, ukiwa mjini kama ni voda menu yao ya internet kuna sehemu ya kucheki kama simu yako ina lnasuport 5G yao.Mzee oppo reno 7 5g chinese version inayo hii kitu au manake kila nikiwa mjini sioni 5g