Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
Nielekeze naingia wapi kutizama au airtel manake ninayo apa na hakun 5gKwenye hardware ipo mkuu, ukiwa mjini kama ni voda menu yao ya internet kuna sehemu ya kucheki kama simu yako ina lnasuport 5G yao.
Donnie,Ninakuwa sana maeneo uliyotaja, ninapata 5g vizuri kwa airtel, tigo na vodacom.
Natumia samsung yenye 5g na hapa sasa hivi nipo mbezi mwisho
View attachment 3023463
Menu ya kawaida ile ya kuunga bando *149*01# kuna menu ya 5G ambayo unaangalia compability, sina uhakika Airtel, hio ni vodaNielekeze naingia wapi kutizama au airtel manake ninayo apa na hakun 5g
4g yenyewe haishiki wewe unawaza 5g daahNi ajabu sana nina simu ya 5G na laini zote Tigo na Voda nazotumia mtandao unaishia LTE tu na simu ina hadi 5G!!
Na laini zote ni za current, kimara,mbezi nyumbani kwangu Goba inaniambia eneo ulipo hamna 5G[emoji28]
Hata nikiwa kwa Kimara na mbezi inakua hivyo hivyo??
Hivi ni mimi peke yangu au?
Samsung Galaxy S20 5GSimu gn hii
BOngo dalisalamuView attachment 3042493Kanzu mpya...... shehe yuleyule