Tetesi: 5g network ndio Corona

GHIBUU

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
4,432
Reaction score
3,013
Kuna tetesi ya kwamba 5g network imeleta madhara makubwa, na Hilo suala la 5g zaidi ya mwaka wataalamu waliomba lichunguzwe kwanza kwa madhara kwa mwanadamu na viumbe.

Vipi madhara yake

5g network inasemekana ina high radiation, kuna miji hapa Uk ambayo ipo karibu na na minara hii ya 5g, wanyama kama ndege, bata na kuku wakianguka na kufa, kama vile Wuhan walivyo kuwa wakianguka wachina, inawezekana Wuhan ni mji wa mwanzo kutumia 5g.

5g ina miyonzi mikali inaumiza upuwaji na kuthiri oxygen, cell katika mwili wa mwanadamu, kuona kizungu zungu, n.k




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waafrika mtaacha lini kupeana taarifa za uongo uongo ?
 
mpaka tupate majibu tutakua tumegues sana
 
Hiyo mionzi ni mionzi gani na ina frequency ya ngapi?

Unaandikaje vitu kama mtoto wa darasa la kwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…