Kuna tetesi ya kwamba 5g network imeleta madhara makubwa, na Hilo suala la 5g zaidi ya mwaka wataalamu waliomba lichunguzwe kwanza kwa madhara kwa mwanadamu na viumbe.
Vipi madhara yake
5g network inasemekana ina high radiation, kuna miji hapa Uk ambayo ipo karibu na na minara hii ya 5g, wanyama kama ndege, bata na kuku wakianguka na kufa, kama vile Wuhan walivyo kuwa wakianguka wachina, inawezekana Wuhan ni mji wa mwanzo kutumia 5g.
5g ina miyonzi mikali inaumiza upuwaji na kuthiri oxygen, cell katika mwili wa mwanadamu, kuona kizungu zungu, n.k
Sent using
Jamii Forums mobile app