Yaani Mkuu, nimeona huu uzi kwa zaidi ya saa 24 najiuliza Kenya wameshindwa kuwasitiri marehemu hata kwa shuka, blanketi au khanga/leso ina maana jamaa zetu hawana moyo wa kujitolea kuwapa heshima marehemu na kuwatupa juu ya mwili wa mwingine namna hii?!Nikiona habari kama hizi, naondokwa na furaha. Lakini hebu fikiria kwanza samwel amos, hivi umepata rukhsa toka familia ya waliofiwa kuanika picha zao hapa? Vile vile silioni jambo jema kutangaza picha bila idhini ya mwenye picha. Haitoshi kwako kutangaza habari tu bila kuwaongezea wafiwa huzuni na jeraha kwa kuweka kumbu kumbu na hadi kuweka na pics za maiti ya marehemu?? Tafakari.
Yaani Mkuu, nimeona huu uzi kwa zaidi ya saa 24 najiuliza Kenya wameshindwa kuwasitiri marehemu hata kwa shuka, blanketi au khanga/leso ina maana jamaa zetu hawana moyo wa kujitolea kuwapa heshima marehemu na kuwatupa juu ya mwili wa mwingine namna hii?!
Mungu awape pumziko la amani marehemu. Amen.
Hivi unajua tabia ya kuaga mwili wa marehemu ilianza lini?Inasikitisha sana! Yaani zile maiti ukiziangalia kama hakuna maelezo unaweza kufikiri ni Magaidi walio wapiga risasi wasichana, kumbe ni ajali iliyopoteza wasichana wa watu.
Kwa nini Serikali au raia wanakosa ustaarabu wa kuzisitili maiti kwa kuzifunika shuka au kanga, maiti nyingine mpaka nguo ya ndani inaonekana - wametupwa tu kama mizoga ya wanyama - huu si ustaarabu hata kidogo, vile vile na mpiga picha za maiti naye ni wa kulaaniwa hana UTU!!
R.I.P Lovely Girls.