6 Kenyatta University students die on way from JKUAT party

Imeniuma kweli, tumepoteza vijana ambao ndio walikua wanaanza maisha. Ni tanzia aisei, Mungu awafariji wafiwa.
 
Mungu awarehemu...i wish huo mda waliokuwa wanatumia kuji-selfie angalao wangekaa sehemu tulivu kidogo kutafakari nini maana ya maisha,japo lililopangwa na Muumba huwa ila ingewapa nafuu ktk vifo vyao.inasikitisha sana.
 
Nikiona habari kama hizi, naondokwa na furaha. Lakini hebu fikiria kwanza samwel amos, hivi umepata rukhsa toka familia ya waliofiwa kuanika picha zao hapa? Vile vile silioni jambo jema kutangaza picha bila idhini ya mwenye picha. Haitoshi kwako kutangaza habari tu bila kuwaongezea wafiwa huzuni na jeraha kwa kuweka kumbu kumbu na hadi kuweka na pics za maiti ya marehemu?? Tafakari.
 
Yaani Mkuu, nimeona huu uzi kwa zaidi ya saa 24 najiuliza Kenya wameshindwa kuwasitiri marehemu hata kwa shuka, blanketi au khanga/leso ina maana jamaa zetu hawana moyo wa kujitolea kuwapa heshima marehemu na kuwatupa juu ya mwili wa mwingine namna hii?!

Mungu awape pumziko la amani marehemu. Amen.
 
Inasikitisha sana! Yaani zile maiti ukiziangalia kama hakuna maelezo unaweza kufikiri ni Magaidi walio wapiga risasi wasichana, kumbe ni ajali iliyopoteza wasichana wa watu.

Kwa nini Serikali au raia wanakosa ustaarabu wa kuzisitili maiti kwa kuzifunika shuka au kanga, maiti nyingine mpaka nguo ya ndani inaonekana - wametupwa tu kama mizoga ya wanyama - huu si ustaarabu hata kidogo, vile vile na mpiga picha za maiti naye ni wa kulaaniwa hana UTU!!

R.I.P Lovely Girls.
 
Overspeeding
Reckless driving
Drinking driving
Bad roads
These are the possible causes, shetani hahusiki kabisa
 
Inasikitisha sana! Yaani zile maiti ukiziangalia kama hakuna maelezo unaweza kufikiri ni Magaidi walio wapiga risasi wasichana, kumbe ni ajali iliyopoteza wasichana wa watu.

Kwa nini Serikali au raia wanakosa ustaarabu wa kuzisitili maiti kwa kuzifunika shuka au kanga, maiti nyingine mpaka nguo ya ndani inaonekana - wametupwa tu kama mizoga ya wanyama - huu si ustaarabu hata kidogo, vile vile na mpiga picha za maiti naye ni wa kulaaniwa hana UTU!!

R.I.P Lovely Girls.
Hivi unajua tabia ya kuaga mwili wa marehemu ilianza lini?
Maana zamani haikuwepo, nowdays mnajipanga misururu eti kumuaga marehemu!!!!! Mmh!

Ustaafrika unapotea taratibu.
Pokeni wafiwa, RIP marehem.

Dah yaani kusherehekea tu ikawa kosa!!!!!
 
kilio na majonzi,kweli nasikitika sana nikitazama hizi picha,moyo wangu kajawa na hofu.Ibilisi yuazunguka kila wakati,usiku na mchana,akitafuta wa kwenda naye jehanamu tazama anavyonguruma kama simba,kaeni chonjo wapendwa muwe macho.Msilale ila mkeshe kwa maombi maana wakati wa kulala umekwisha......majonzi haya jameni......
 
Sasa hawa ni bandit au? Mbona wengine wako uchi kisha kuna watu kando wanaangalia tu. Mabinti wasomi leo wamekuwa kama magaidi.
 
Back
Top Bottom