6 Months experience na TTCL Fiber

Ping kwa TTCL kwangu huwa inachezea hapa 12ms

Ila kumbuka hii ni shared connection sio dedicated, kwa hiyo idadi ya customers inaweza pia affect ping speed.
 
Ping kwa TTCL kwangu huwa inachezea hapa 12ms

Ila kumbuka hii ni shared connection sio dedicated, kwa hiyo idadi ya customers inaweza pia affect ping speed.
12ms itakua kwenye server za bongo..Ingia kwenye speedtest then change server to any Johannesburg server kama liquid au vodacom..check ping yake....kwangu ttcl to any dsm server ping inakuaga adi 4ms
 
12ms itakua kwenye server za bongo..Ingia kwenye speedtest then change server to any Johannesburg server kama liquid au vodacom..check ping yake....kwangu ttcl to any dsm server ping inakuaga adi 4ms
Nilivyokua na Fiber yao nilikuja kuhakiki mwenyewe hili la ping za Africa hata kenya tu hapo inaweza fika 200ms ama zaidi.
 
Ni aibu kubwa sana mpaka leo hii 2023 kupata fibre ni kitu cha anasa kwa wachache hata kwenye majiji, wenzetu Kenya hizi ishu tangu 2010s zishakuwa kawaida.

Mpaka leo Paypal Tanzania inatumika kulipia tu lakini haipokei pesa, BOT wapo na kisingizio kilekile eti kuzuia utakatishaji wa pesa, very weak excuses.
 
Unaweza ona kwenye izo screenshot..
Picha namba 1 ping ni 5 ukiconnect na server ya Dar es salaam.
Picha namba 2 ping ni 224 ukiconnect na server ya Johannesburg.
Picha namba 3 ping ni 219 ukiconnect na server ya Nairobi.
Picha namba 4 ping ni 180 ukiconnect na server ya Paris.
Picha namba 5 ping ni 21 ukiconnect na server ya Mwanza.
 
Attachments

  • 1.png
    131.5 KB · Views: 38
  • 2.png
    135.4 KB · Views: 36
  • 3.png
    134.1 KB · Views: 35
  • 4.png
    69.3 KB · Views: 36
  • 5.png
    135.6 KB · Views: 39
Nataka nichukue lakni ile ya 100k 40mbps na focuss sana sana kwa gaming maana nilishachukua airtel 5g na voda 5g zote zinazingua ata nikitumia kwa njia ya ethernet zilikua zinazingua voda nilikua nalipia 150k ya 50 mbps na airtel 110k ya 30mbps. Sasa nataka nitry ttcl nione itakuaje. Kuna Mtu yoyote ashatumia fiber na alishalipia ya 100k 40mbps aniambe speed yake ya download inaendaje?
 
Gaming ni voda, na game sio speed kubwa inayohitajika bali ping/latency.

Ulikua unapata ping ngapi na voda? Server ilikua wapi?
 
Gaming ni voda, na game sio speed kubwa inayohitajika bali ping/latency.

Ulikua unapata ping ngapi na voda? Server ilikua wapi?
Sikumbuki vzuri ila nikicheza fortnite ilkua ina stuck stuck sana yani inaleta kicross chekundu na mshale mwekundu kwa screen in fortnite game
 
Sikumbuki vzuri ila nikicheza fortnite ilkua ina stuck stuck sana yani inaleta kicross chekundu na mshale mwekundu kwa screen in fortnite game
Check speed na speedtest Pima kawaida ikupe local ping ya hapa Tanzania na Pima na server ya nje kwa Nchi ambayo fortinite server ipo most of time kwetu ni south Africa server.
 
Check speed na speedtest Pima kawaida ikupe local ping ya hapa Tanzania na Pima na server ya nje kwa Nchi ambayo fortinite server ipo most of time kwetu ni south Africa server.
Sema nacheza fortnite kwa ps5 sio pc so vpn ngumu kutumia
 
Unaona sasa hapa

15ms ni ping nzuri ila ina vary mno mpaka 4498ms hapa lazima kuwe na stutter.

Hata mimi kwangu Airtel sichezi nayo games lazima kuna sehemu sekunde kadhaa ikuzingue.

Ushauri tafuta voda, most of time voda wana reliability kubwa, simu yako ina 5G? Unga tu kifurushi cha 3000 kile unapewa 1.4GB then test nayo uone ping inasomaje.

Then rusha hotspot ikiwa kwenye 5G kwenda ps5 yako uone kama itasaidia.
 
Embu nitumie namba yako tuongee zaidi
 
Sorry for late reply,,my advice kwanza inatakiwa ujue fortnite au game lolote lina server wapi jirani na Tanzania...server nyingi za jirani za games zipo south africa especially Johannesburg..
-TTCL FIBER ROUTING YAO KWENDA SOUTH SIO NZURI SANA... labda ukitumia vpn services zenye server za south africa
-Kwa mitandao ya simu Voda ni the best kwa low ping... me napata 23ms kwenye simu ya 4g
 
Voda wako vzuri kwa gaming ila zuku fiber ndo bora zaidi lakn kama jamaa alichosema apo unaweza tumia vpn tu kma express au nord nakushauri kati ya hizo mbili tu maana zingine unaweza baniwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…