61.3% of Kenyans own houses in which they stay.

Halafu siku hizi vijana wanajenga sana, wengi wamekubali kutoka nje ya Nairobi maana viwanja mjini havinunuliki, Watanzania wajifunze kwa hili, sio wote kulundikana Tandare.
 
Halafu siku hizi vijana wanajenga sana, wengi wamekubali kutoka nje ya Nairobi maana viwanja mjini havinunuliki, Watanzania wajifunze kwa hili, sio wote kulundikana Tandare.
Kwel mazee...ukitaka kujua tembelea mashinani, unakutana na majumba balaa...

Kwanza mi naona wafanyikazi wa county za mashinani ndio wanamiliki mijumba ya maana hata kuliko wale wa county km nairobi na mombasa..wengi wao nashuku wamepanga majumba ya kifahari kw estates

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii iko poa itachochea maendeleo maeneo mengine pia,hata huku iko hivyo tu.
 
Na Wewe kwani unafikiria Kenya yote iko Nairobi. Kibra isn't even the most populated area in Nairobi na uko hapa na Machungu. Most people in Nairobi City county live in Embakasi so uwache kujidanganya bure[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ficha kwanza Upumbavu wako
Alie sema 70%
Huwaoni hapo
Pia suala la Slum
Kenya Nzima zimejaa
 
Sote tunajua in Tz land belongs to the govt and can be taken anytime they wish to do so halafu sote tunajua Dar es sluum ni Slum iliyo na Jumba 3 ndefu(TPA na pspf).
Maaaaaav* bongo mabanda ya mbwa na kuku atuyahesabu ila nyinyi banda la kuku na mbwa la tz kwenu ni nyumba ya familia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sote tunajua in Tz land belongs to the govt and can be taken anytime they wish to do so halafu sote tunajua Dar es sluum ni Slum iliyo na Jumba 3 ndefu(TPA na pspf).
Maaaaaav****mnahesabu adi mabanda ya kuku na mbwa banda la mbwa au kuku tz kwenu inaesabika ni nyumba ya familia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…