komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Kibera slum majority ni wa nubiMajority ni Wakenya,watanzania hawayawezi maisha ya namna hiyo,bora wabaki nyumbani tu. Na kama wageni wangekuwa wengi eneo hilo amini kusingekuwa na kibera leo.
Sent using Jamii Forums mobile app