61.3% of Kenyans own houses in which they stay.

Yupo Sahihi
Sindio hawahapa
Hii inahusisha na kibera pia?!!!
Screenshot_20200205-083220_1582296796479.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona watu wana hasira kwenye uzi huu wa takwimu simpo kutoka kwa KNBS Census 2019? Kulingana na takwimu zao Nairobi ina wakazi 4,397,073, kitongoji duni cha Kibera watu 170,070 tu. Wachawi ambao wanapenda porojo watazidi kuumbuliwa tu.
 
And remember that 170,000 is not slum alone, part of upperhill is there.
 
Kweli, hizo ni takwimu za Kibra kwa ujumla, ambayo ni pamoja na mtaa wenyewe wa Kibera. Alafu idadi ya wakazi ni pamoja na wakimbizi kutoka kote kote ukanda huu. Sudani, Burundi, DRC n.k, n.k. Hawa wanakwaya huwa wanajaribu kueneza porojo zao kwamba kila mtu Nairobi anaishi Kibera. [emoji1]
 
2018 GLOBAL MULTIDIMENSIONAL POVERTY INDEX | Human Development Reports

1. Nigeria - 99 166 000 - 51.95%
2. Ethiopia - 85 834 000 - 83.82%
3. DRC - 57 050 000 - 72.46%
4. Tanzania - 30 915 000 - 55.63%
5. Uganda - 23 549 000 - 56.76%

6. Mozambique - 20 913 000 - 72.54%
7. Sudan - 20 738 000 - 52.40%
8. Madagascar - 19 366 000 - 77.79%
9. Kenya - 18 837 000 - 38.87%
10. Niger - 18 727 000 - 90.59%
11. Burkina Faso - 15 655 000 - 84.01%
12. Angola - 15 494 000 - 51.17%
13. Mali - 14 056 000 - 78.11%
14. Chad - 12 409 000 - 85.86%
15. South Sudan - 11 242 000 - 91.92%
16. Cote d'Ivoire - 10 926 000 - 46.11%
60% ni kidogo sana ukilinganisha na Tanzania ambapo watu wana ardhi hekari 5 kwenda juu
Alafu inakuwaje kwamba 55.63% wanaishi kwenye limbi la umasikini, multi-dimensional, ambayo inazingatia nyumba wanazoishi na mali wanazomiliki pia?
 
2018 GLOBAL MULTIDIMENSIONAL POVERTY INDEX | Human Development Reports

1. Nigeria - 99 166 000 - 51.95%
2. Ethiopia - 85 834 000 - 83.82%
3. DRC - 57 050 000 - 72.46%
4. Tanzania - 30 915 000 - 55.63%
5. Uganda - 23 549 000 - 56.76%

6. Mozambique - 20 913 000 - 72.54%
7. Sudan - 20 738 000 - 52.40%
8. Madagascar - 19 366 000 - 77.79%
9. Kenya - 18 837 000 - 38.87%
10. Niger - 18 727 000 - 90.59%
11. Burkina Faso - 15 655 000 - 84.01%
12. Angola - 15 494 000 - 51.17%
13. Mali - 14 056 000 - 78.11%
14. Chad - 12 409 000 - 85.86%
15. South Sudan - 11 242 000 - 91.92%
16. Cote d'Ivoire - 10 926 000 - 46.11%
Alafu inakuwaje kwamba 55.63% wanaishi kwenye limbi la umasikini, multi-dimensional, ambayo inazingatia nyumba wanazoishi na mali wanazomiliki pia?
Mimi nimesema WaTZ wana mahekari kila mtu..Hiyo Kizungu miingi na catwalk ya sijui "Multi dimensional" inaangalia elimu na kuipa "weighted average" kubwa kuliko vitu vya msingi kama ardhi..
Mwajiri wangu wa kwanza alifika form 4
 
2018 GLOBAL MULTIDIMENSIONAL POVERTY INDEX | Human Development Reports

1. Nigeria - 99 166 000 - 51.95%
2. Ethiopia - 85 834 000 - 83.82%
3. DRC - 57 050 000 - 72.46%
4. Tanzania - 30 915 000 - 55.63%
5. Uganda - 23 549 000 - 56.76%

6. Mozambique - 20 913 000 - 72.54%
7. Sudan - 20 738 000 - 52.40%
8. Madagascar - 19 366 000 - 77.79%
9. Kenya - 18 837 000 - 38.87%
10. Niger - 18 727 000 - 90.59%
11. Burkina Faso - 15 655 000 - 84.01%
12. Angola - 15 494 000 - 51.17%
13. Mali - 14 056 000 - 78.11%
14. Chad - 12 409 000 - 85.86%
15. South Sudan - 11 242 000 - 91.92%
16. Cote d'Ivoire - 10 926 000 - 46.11%
Alafu inakuwaje kwamba 55.63% wanaishi kwenye limbi la umasikini, multi-dimensional, ambayo inazingatia nyumba wanazoishi na mali wanazomiliki pia?
Kuna ripoti ya karibuni zaidi
 
Kuna ripoti ya karibuni zaidi
Chambua ya 2019. Umasikini uliongeza Tz, Kenya nayo ilifanikiwa kupunguza % ya umasikini kati ya mwaka wa 2018-19.
 
Mbona watu wana hasira kwenye uzi huu wa takwimu simpo kutoka kwa KNBS Census 2019? Kulingana na takwimu zao Nairobi ina wakazi 4,397,073, kitongoji duni cha Kibera watu 170,070 tu. Wachawi ambao wanapenda porojo watazidi kuumbuliwa tu.
Unalia lia sana,mfumo wa Kenya wa umilikaji wa ardhi ndo unazingua,matajiri wanamiliki ardhi kubwa sheria ikiwafavor,maskini wamejibana kwny slums nao pia wanamiliki ardhi huko hata kama si rasmi,Slums za Nairobi ni bombs wameachwa huko kuwa na serikali zao, wafanye wanachotaka wanalindwa tu wasivushe uhalifu wao kwa matajiri japo bado kuna watoto wa mbwa wanakuja kuzingua mitaa ya Nairobi ndo maana crime iko juu sana,Kibera itabaki kuwa Kibera,ukizingua kibera Nairobi haitakalika Matajiri,serikali inalijua hilo, Slums ni mabomu,keep distance.
 
Sote tunajua in Tz land belongs to the govt and can be taken anytime they wish to do so halafu sote tunajua Dar es sluum ni Slum iliyo na Jumba 3 ndefu(TPA na pspf).
 
Kweli, hizo ni takwimu za Kibra kwa ujumla, ambayo ni pamoja na mtaa wenyewe wa Kibera. Alafu idadi ya wakazi ni pamoja na wakimbizi kutoka kote kote ukanda huu. Sudani, Burundi, DRC n.k, n.k. Hawa wanakwaya huwa wanajaribu kueneza porojo zao kwamba kila mtu Nairobi anaishi Kibera. [emoji1]
Hata Omba Omba wa kutokea kwa Magufuli wanaishi huko pia.
 
Unalia lia sana,mfumo wa Kenya wa umilikaji wa ardhi ndo unazingua,matajiri wanamiliki ardhi kubwa sheria ikiwafavor,maskini wamejibana kwny slums nao pia wanamiliki ardhi huko hata kama si rasmi,Slums za Nairobi ni bombs wameachwa huko kuwa na serikali zao, wafanye wanachotaka wanalindwa tu wasivushe uhalifu wao kwa matajiri japo bado kuna watoto wa mbwa wanakuja kuzingua mitaa ya Nairobi ndo maana crime iko juu sana,Kibera itabaki kuwa Kibera,ukizingua kibera Nairobi haitakalika Matajiri,serikali inalijua hilo, Slums ni mabomu,keep distance.
Ardhi tanzania ni ya ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom