62Billion Dolla ,yako shi ngap hapo?

62Billion Dolla ,yako shi ngap hapo?

Mr Chromium

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
2,761
Reaction score
3,835
Tanzania hit 62B in year 2021/2022 !!
Hii ni Economic GDP ya nchi hii tanzania
Iko nyuma ya Kenya na Ethiopia lakini ni kubwa zaidi ya Sudan kusini,Rwanda,Burundi na Uganda!!!.,

Hizi billlion 62 ni nyingi sana !! 62 Billion in USD
nachojiuliza mbona hizi ela zote hazionekani mtaanii??
Ni biashara gani mtu anafanya ya kuleta even 1B $ ? hamna ukiachilia mbali ya makampuni ya voda, bank

Je unahisi ww apo unachangia sh ngap??
nime calculate apo pato langu tangu naanza kushika hela ni kama 0.0e21 ambayo n almost 0!!
 
Ngombe $62b kwa nchi Ni umasikin mkubwa, makampuni ya marekani yanamiliki Hadi $500b-1t bado hawalingi
 
Back
Top Bottom