Wakati sie bado tunapambana na watu wasipate huduma ya internet kwa bei rahisi, hiyo starlink bongo bado figisu kupewa leseni. Wenye mamlaka wanakula percent tu toka kwa wauza data nchini.