7 natural laws of business

Mkuu kwenye LAW OF CONCEALMENT, umesema "watu wasijue utakachofanya next wastukie tu umefanya"

Je watu gani wasijue?, pia kwenye ulimwengu wa sasa ukitaka kuanzisha biashara inakua changamoto kuficha kabisa watu wasijue, lazima ufanye tafiti, lazima uulize maswali kwa watu ili ukusanye taarifa, lazima uongee na watu wa karibu kupata ushauri, kuna mda unaweza kua na mtaji pungufu na ukahitaji mtaji uongezeke kidogo so lazima uongee na watu wa kukusaidia

Kwahio unafanyaje in total secrecy watu wasijue?
 
Mkuu no disrespect, ila nondo zako unaizelezea in General, go deep tafadhali

unavosema, "asilimia 80 ya mafanikio ya biashara yanamtegemea mjasiriamali" hizo 80% ni vitu gani, tufafanulie, ni mambo gani hayo inabidi mjasiriamali afanye ili afanikiwe, usiseme tu 80%

Pia unavosema " 20% ni inayomzunguka" hii inayomzunguka unamaanisha nini?, ichambue hio 20%, don't just drop vocabularies bila kuchambua in depth, hapa tupo kujifunza na kuelimika at the same time
 
Aliyekuambia capital letter ni order ni nani?na alikuwa na lengo gani?
 
Brother Malcom ...kwenye hiyo law nimesema kuna vitu vya kuficha na vingine huwezi kuficha,sasa hapo kwenye vitu vya kuficha nikasema,ficha next move yako,kwa mfano unataka kuanzisha biashara fanya tafiti zako kimya kimya Kama kuna ulazima mtu ajue basi awe ni mdau au inner circle ya watu unao waamini.
 
Ni sahihi haya uliyoyaandika! Lkn si rahisi kwa mtu wa kawaida kuelewa kwa sababu ni mambo ya ndani sana kwa kila mfanyabiashara aliefanikiwa na mara nyingi hubaki siri. Ndiyo maana wafanyabiashara wengi waliofanikiwa (wenyeviti wa makampuni makubwa, ceo na hata binafsi) hawawezi kukueleza namna gani wamefika walipofika
 
Asilimia 20 nimejaribu kuifafanua hapo juu, angalia mchango wa #117, asilimia 80 ni uwezo wako wa akili, elimu dunia, (life learning skills), tabia za ujasiriamali ulizonazo, (entrepreneurial competences), kama huna hata tabia moja ya ujasiriamali, huwezi kufanya biashara yoyote,, mfano mmoja wa hizo tabia ni mkataba na mteja, (commitment to work contract and concerned for quality)

Kitaalamu unatakiwa uwe na mpango wa biashara kumbe mpango wa biashara husaidia kukabiliana na ushindani wa kibiashara

Niulizeni maswali kuliko mimi kuanza kutililika ambapo nimekuwa natililika lakini watu hawsomi wala kuuliza maswali yaani nitililike tu kama mwehu, wewe mwenye hujasoma mchango wangu, #117,

I can not reveal all my codes here, because am writing a book
 
hilo neno 'self made' ni la kupotosha watu tu

kina bill gates, elon musk, mark zuckerberg... wote wealthy backgrounds
Sababu mojawapo ni wazi tu kwamba kwa kuwa mafanikio tayari yapo ndani ya familia, wanapata codes za kutoboa kirahisi kutoka kwa wazazi wao as opposed to other folks ambao wanapata hizo codes kwa mbinde mno au pengine hawapati kabisaa, maana hazifundishwi darasani.

Ila pia wapo matajiri ambao hawakurithi utajiri, eg Bakhresa, Mengi, nk
 
ushaumia hapo ,huu mwaka nimepoteza mambo mawili ya msingi kwa kujaribu kushare vitu na watu.Unajua neno husuda basi amini binadamu wana evil-eye
 
Na kama ni kufupisha hapakuwa na sababu ya kuweka - maana ukiandika Mungu na M-ngu, yako inachukua muda zaidi.
Raia Fulani ...sikuwa na lengo la kufupisha,nimeandika kwa code kuonyesha heshima kwa hilo jina, hili jina M-ngu ni sacred,hutakiwi kulitumia in vain,ni hekima litumike kwenye sacred issues....
 
Mimi kwa Imani yangu ni muislam! Nmeelewa vizuri somo ila hapo katika damu ya mwana wa M-mungu cjaelewa! Kwa Sisi waislam inatupasa tufanye nn ili kupata ulinzi huo
Obel ...kuna tofauti ya dini na imani,nimeshuhudia waislamu wakitumia jina la Yesu na likatenda kazi,hata hili suala la damu ya Mwana wa M-ngu ni la kiimani zaidi sio dini.
 
Hiyo law ya kuwatenga baadhi ya watu ndo maana watu huenda kuishi mbali na wanapojulikana na inakuwa wepesi kutoboa

Ili la kuandaa mazingira kabla ya kuanza biashara hata kama hakuna washindan nilikuwa silizingatii ila sasa nitaanza kulizingatia

Asante kwa elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…