7 natural laws of business

7 natural laws of business

Uzi umenikumbusha miaka kama 10 iliyopita Niko na Mzee tunauza grocery kuna vitu baadhi nilikuwa naona ila kuuliza nauchuna sijui ni utoto,

Kwa kipindi hicho glocery zilifunguliwa kama ushindani Kwa mida tofauti lakini haikutoboa hata 1 na wahudumu ni wanaume japo majirani walitumia pisi Kali na vimini vyao,

Kuna kiofisi kingine kama 2016 hesabu zilianza kuvurugika tukachukua hatua za ulinzi nimemaliza kuset kesho yake mida ya mchana namuona mbabu Fulani anakuja kafika mbele ya ofisi kachunguliiia hakuongea chochote akageuza alikotoka

Nashukuru saana Kwa Uzi huu umenikumbusha mengine Mengi kiongozi ubarikiwe, NAANZA SASA
 
Hatua gani za ulinzi uliset?
 
Hapa tanzania,kwenye tafiti zangu nimeona hawa jamaa wa dark side,wana back up kubwa sana kuliko watu wa light side,hii haimaanishi kuwa nguvu ya M-ngu wa light side ni ndogo..noo..namaanisha watu wa M-ngu hawana organisations za kiroho,hawana divine associations ambazo zinge act kama back up spiritually and financially,hizi back up zipo nyingi sana in the dark side,naongea haya kwa uchungu sana kwasababu mzee wangu,mzee fabi alikuwa na ndoto ya kuanzisha back up organization hapa bongo lkn mpk anakufa hakufanikisha ndoto yake.
Tanzanian Dream kwa kiwango kikubwa cha uzoefu na enlightenment level uliyopo....why usianzishe back up organization mkuu
 
Mimi naamini kabisa biashara ni kiroho zaidi, nilishawahi kupigwa hasad (evil eye) kwenye biashara, yaani wateja wanakupita kamà jiwe vile, mwisho nikafunga. Hiyo ilikuwa ni baada ya watu wawili kunitamkia kwamba "yaani jengo zima wewe ndio unaongoza kwa kuuza". Laiti ningelijua hii siri ya damu ya Mwana wa Mungu mapema.
 
Naam
 
Back
Top Bottom