Tanzanian Dream
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 274
- 1,771
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo damu inapatikana kwa kumtumikia kikamilifu mwenye damu(yesu kristo,mwana wa Mungu).Kuna swali hajajibu na limeulizwa na wengi, hiyo damu ya mwana wa mungu inapatikanaje? wapi ni ipi?? au mafta ya mwamposa au mafta ya madhabahuni romani au ni nini???
SamahaniKwenye ujasiriamali unahitaji taarifa, (information), na uwezo wa kutafsiri taarifa kisahihi, life learning skills, (ujuzi endelevu katika maisha), yaani uwe na elimu za kukabiliana na changamoto mbalimbali katika maisha), tabia za kuenenda katika biashara, pia kitaalamu ili ufanye biashara shindani unatakiwa uwe na andiko la mpango wa biashara
Angalizo kama huna uwezo wa kutafsiri taarifa kisahihi, taarifa inaweza kukusababishia changamoto
Ndiyooo, natengeneza vifaa vya kidigitali general electronic repair, tv, subwoofer, simu hardware and software, tuseme vifaa mbali mbali vya electronics, Ndiyo maana nimetaja general electronic repair, (nauza akili)Samahani
Wewe unafanya biashara ?
Naamini kitabu chako kimejaa theory na sio UHALISIA. Hizi habari za customer care sijui bidhaa nzuri hazina uhusiano kwenye ulimwengu wa siri ktk biashara. Inaonesha we hujawahi fanya biashara. Una bidhaa bora, mazingira safi na location nzuri plus good customer care lkn unakuta mwenzio mchafu mchafu tu anakimbiza. Kuna sehem kuna bucha mbili moja ipo ipo tu nyingine ina mazingira bora lkn unakuta watu wamepanga foleni kwenye bucha chafu. Biashara inahusisha sana mambo ya kiroho kuliko hizi theory unazoleta.Sawa je kama bidhaa zako ni mbovu na huna kauli nzuri kwa wateja? Nyie nyie mnapotosha watu
Huyo ni mwandishi na sio mfanyabiashara. Analeta theory kwenye mambo yanayohitaji UHALISIASamahani
Wewe unafanya biashara ?
Ni mawazo ya kibinadamu, hata mimi kabla sijabahatika kupata elimu ya ujasiriamali nilijisifu kwamba mimi ni fundi mzuri wateja watakuja tu kumbe SI kweli, hata hivyo biashara zina changamoto nyingi, ambazo husababishwa na mjasiriamali mwenyewe ama yanayo mzunguka, mimi nafanya biasharaNaamini kitabu chako kimejaa theory na sio UHALISIA. Hizi habari za customer care sijui bidhaa nzuri hazina uhusiano kwenye ulimwengu wa siri ktk biashara. Inaonesha we hujawahi fanya biashara. Una bidhaa bora, mazingira safi na location nzuri plus good customer care lkn unakuta mwenzio mchafu mchafu tu anakimbiza. Kuna sehem kuna bucha mbili moja ipo ipo tu nyingine ina mazingira bora lkn unakuta watu wamepanga foleni kwenye bucha chafu. Biashara inahusisha sana mambo ya kiroho kuliko hizi theory unazoleta.
Huyu jamaa analeta stori nyingi…Huyo ni mwandishi na sio mfanyabiashara. Analeta theory kwenye mambo yanayohitaji UHALISIA
Biashara wangekua wanasomea basi wengi wangekua mbali sana. Biashara ni zaidi ya hii ELIMU ya kwenye makaratasi. Napofanya kazi wawili pia wanauza chips. Huyu mchafu mchafu anauza sana lkn mwenzie yupo smart sana na hauzi na mwisho kafunga. Hivi unaweza sema wakinga wanafuata hayo unayosema?Ni mawazo ya kibinadamu, hata mimi kabla sijabahatika kupata elimu ya ujasiriamali nilijisifu kwamba mimi ni fundi mzuri wateja watakuja tu kumbe SI kweli, hata hivyo biashara zina changamoto nyingi, ambazo husababishwa na mjasiriamali mwenyewe ama yanayo mzunguka
Nina bidii sana kwenye biashara na kanuni za kwenye maandishi nazingatia lkn naona giza tu. Biashara yangu iko barabarani kabisa lkn anayeuza sana yupo uchochoroni. Nikiona mtu analeta theory kwenye mambo serious nashangaa sana.Kuna muda nilikua nafanya biashara flani hivi,Mzigo ulijaa dukani na store,biashara ilianza kuwa mbaya mdogo mdogo hadi nikafirisika. Wateja nikawa nawaona wanapita tu kule wamebeba bidhaa na ukizingatia bei ni zilezile na hakuna eti lugha mbaya au nini. Kuna muda biashara ilikua moto unauza hadi vitu vibovu mteja anachukua tu anasema ntaenda kuweka sawa mwenyewe. Inafika muda una quality products na huuzi hadi mtaji unakata. Ni rahisi sana kuleta theory kama hujaingia kwenye 18 za biasharaHuyu jamaa analeta stori nyingi…
Mkuu acha tu,kilichonikuta 2024 march!! Hizi biashara hizi …..Roho ni muhmu mnoooNina bidii sana kwenye biashara na kanuni za kwenye maandishi nazingatia lkn naona giza tu. Biashara yangu iko barabarani kabisa lkn anayeuza sana yupo uchochoroni. Nikiona mtu analeta theory kwenye mambo serious nashangaa sana.Kuna muda nilikua nafanya biashara flani hivi,Mzigo ulijaa dukani na store,biashara ilianza kuwa mbaya mdogo mdogo hadi nikafirisika. Wateja nikawa nawaona wanapita tu kule wamebeba bidhaa na ukizingatia bei ni zilezile na hakuna eti lugha mbaya au nini. Kuna muda biashara ilikua moto unauza hadi vitu vibovu mteja anachukua tu anasema ntaenda kuweka sawa mwenyewe. Inafika muda una quality products na huuzi hadi mtaji unakata. Ni rahisi sana kuleta theory kama hujaingia kwenye 18 za biashara
Nimejifunza kitu,biashara bila hizi roho hutoboi. Utaenda weeee inafika sehemu unakwama.Mwanzoni utaona kawaida tu mbona biashara inaenda tu,lkn huko mbele mapicha picha yakianza ndio utajua hivi vitu vikoje.Mkuu acha tu,kilichonikuta 2024 march!! Hizi biashara hizi …..Roho ni muhmu mnooo
Kwel kabisa mkuu!!Nimejifunza kitu,biashara bila hizi roho hutoboi. Utaenda weeee inafika sehemu unakwama.Mwanzoni utaona kawaida tu mbona biashara inaenda tu,lkn huko mbele mapicha picha yakianza ndio utajua hivi vitu vikoje.
Huyu jamaa anauza VITABU VYA UJASIRIAMALI hana loloteNina bidii sana kwenye biashara na kanuni za kwenye maandishi nazingatia lkn naona giza tu. Biashara yangu iko barabarani kabisa lkn anayeuza sana yupo uchochoroni. Nikiona mtu analeta theory kwenye mambo serious nashangaa sana.Kuna muda nilikua nafanya biashara flani hivi,Mzigo ulijaa dukani na store,biashara ilianza kuwa mbaya mdogo mdogo hadi nikafirisika. Wateja nikawa nawaona wanapita tu kule wamebeba bidhaa na ukizingatia bei ni zilezile na hakuna eti lugha mbaya au nini. Kuna muda biashara ilikua moto unauza hadi vitu vibovu mteja anachukua tu anasema ntaenda kuweka sawa mwenyewe. Inafika muda una quality products na huuzi hadi mtaji unakata. Ni rahisi sana kuleta theory kama hujaingia kwenye 18 za biashara
Nini kilikupata Aiylan wasalanMkuu acha tu,kilichonikuta 2024 march!! Hizi biashara hizi …..Roho ni muhmu mnooo
Hahaha,yaani kifupi ni kua mvua ilkua inanyesha nje ila maji yakawa yanajaa ndani,sehem ya biashara yangu! Imagine ni nyumba chini kigae juu kuna zege ila maji yanajaa na yanakotekea hupaoni.Nini kilikupata Aiylan wasalan
Elimu sahihi ya biashara ni hii aliyotoa Tanzanian Dream. Hizi habar za kauli nzuri kwa wateja mara bidhaa nzuri sijui mazingira mazuri ni porojo. Unaweza ukawa na kila mazingira mazuri kwa biashara na usitoboe, mwenzio wa uchochoroni tena yupoyupo tu anakusanya kijiji.Huyu jamaa anauza VITABU VYA UJASIRIAMALI hana lolote
Hahaha,yaani kifupi ni kua mvua ilkua inanyesha nje ila maji yakawa yanajaa ndani,sehem ya biashara yangu! Imagine ni nyumba chini kigae juu kuna zege ila maji yanajaa na yanakotekea hupaoni.