7 natural laws of business

7 natural laws of business

Wapi nitaipata hiyo damu ya mwana wa M-mungu?
Chukua ata maji yako ya kunywa...yanenee kwamba unaya badili kuwa damu ya Yesu,kwa imani halafu unanyunyizia eneo lako la biashara ukitamka maneno ya ulinzi na mafanikio katika biashara yako.
 
Chukua ata maji yako ya kunywa...yanenee kwamba unaya badili kuwa damu ya Yesu,kwa imani halafu unanyunyizia eneo lako la biashara ukitamka maneno ya ulinzi na mafanikio katika biashara yako.
Bila kutia chochote?
 
Chukua ata maji yako ya kunywa...yanenee kwamba unaya badili kuwa damu ya Yesu,kwa imani halafu unanyunyizia eneo lako la biashara ukitamka maneno ya ulinzi na mafanikio katika biashara yako.
Sawa je kama bidhaa zako ni mbovu na huna kauli nzuri kwa wateja? Nyie nyie mnapotosha watu
 
Sawa je kama bidhaa zako ni mbovu na huna kauli nzuri kwa wateja? Nyie nyie mnapotosha watu
Sasa mkuu utawekaje bidhaa mbovu?
Pia kumbuka mimi nimemsaidia huyo ndugu jinsi damu ya Yesu inavyotumika.
 
Sasa mkuu utawekaje bidhaa mbovu?
Pia kumbuka mimi nimemsaidia huyo ndugu jinsi damu ya Yesu inavyotumika.
Kuna ngazi tofauti za uelewa ukitaka kujua uelewa wa watu uliza hicho anacho kipigania je anakifahamu vizuri atakwambia hapana waliowengi chanzo cha habari, (source of information), nitoka kwa mtu fulani hata kama ni mpotoshaji kumbuka tunaishi kwenye jamii yenye wapotoshaji,' pessimistic people', watu ambao muda wote wanafurahia matukio mabaya ni waumini wa fikra hasi
 
Wakati tunafundishwa elimu ya ujasiriamali, 1986-1987, walialikwa wafanya biashara ambao walikuwa wamefanikiwa kibiashara karibu na chuo ambao hawakuwahi kupata elimu ya ujasiriamali, walimu walifanya hivyo baada ya sisi wanafunzi kupata somo linalohusu tabia za wajasiriamali waliofanikiwa duniani yaani PEC'S personal entrepreneurial competences

Tafadhali msiende kwa waganga hakuna siri ya kufanya biashara na kufanikiwa

Niulizeni mimi chochote kuhusu ujasiriamali nimebobea haswa

In entrepreneurship we learn how to do business not about business

Kwenye elimu ya ujasiriamali tunajifunza jinsi ya kufanya biashara lakini siyo kuhusu biashara
anzisha darasa, tupo siti ya mbele kufuatilia
 
Nililo andika kwa kimombo dhana inaitwa HARABA Tool, unadhani tafsiri ya kiswahili iweje mdau

HARABA Tool conceptualizing essential traits to help entrepreneurs succeed in business
Kikiwa tayari nistue mkuuu
 
Back
Top Bottom